sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Huyo mtu mmoja analazimisha kusafiria nyota aonekane anashindanishwa ili apate attention lakini uwezo wake umefika mwisho. Nyimbo zinaishia insta azilii mtaani.Kumbe kundi zima lashindana na mtu 1
Mbona Zuchu EP Yake Ina Nyimbo 8 na ana 10m Ila underground harmonize na album ya niymbo 18 ana 2.1m[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji125][emoji125][emoji125][emoji3578][emoji3578][emoji3578] ko kigezo sio wingi Wala uchache Ila Ni MZIKI MZURI na TUNGO zimezo shiba8m kwa Nyimbo 23 ni sawa
kijeba konde anafosi bifu ili apate attention nyimbo zake ziende .kwaiyo ndo kusema na bifu liendelee au?
'Ko' [emoji124][emoji124][emoji124]Mbona Zuchu EP Yake Ina Nyimbo 8 na ana 10m Ila underground harmonize na album ya niymbo 18 ana 2.1m[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji125][emoji125][emoji125][emoji3578][emoji3578][emoji3578] ko kigezo sio wingi Wala uchache Ila Ni MZIKI MZURI na TUNGO zimezo shiba
Kumbuka hii hesabu 🤣🤸Uwezo wa rayvan ni mkubwa mara kumi kwa hamonaiz.
.Kumbuka hii hesabu [emoji1787][emoji1732]
Harmonizer = Reivani + Mbosso + Lavalava + Zuchu + Kwini dalin + wengineo
Ali "King" Kiba = Harmonizer + Dimondi + Nandi + Marioo + wasanii wengine wowote wa bongo unao wakubali
Hii ni katika ulimwengu wako wa kufikirika.Kumbuka hii hesabu 🤣🤸
Harmonizer = Reivani + Mbosso + Lavalava + Zuchu + Kwini dalin + wengineo
Ali "King" Kiba = Harmonizer + Dimondi + Nandi + Marioo + wasanii wengine wowote wa bongo unao wakubali
Nenda kwa mangi chukua twist tangawizYawe Yawe
Oya party today i want to show you my attitude
Mtazd kutusema kumbe ndo mnatupatia a huge chance to the worldwide
#KONDEGANG
Hongera, nilishangaa kusikia davido album yake kwenye hizi platform zite ina stream zaidi ya milioni 400 spotify tu in streams milioni 105.Msanii wa mioyo ya watu wakuitwa Rayvanny au watanzania wanamuita Chui, amezidi kuthibitisha yeye ni mkali wa namba East Africa.
Ni msanii mwenye maneno machache sana ila ana numbers kubwa sana za mauzo kwenye platform mbalimbali za mauzo.
Wimbo wake na Gims umefikisha streams 1 million kwenye spotify.
Album ya Sound from Africa imefikisha streams 8 millions uko mjini Boomplay.
Tuliwaambia hapa wale mashabiki kaukau hii album ya Ray ni international iiish, ngoma zenu mlioenda shule na visoda shingoni zipo chache sana au hakuna kabisa ni album ya kupiga pesa hamkuelewa sasa namba zinazungumza.
Rayvanny anatutoa kimasomaso international.
View attachment 1767766
Umejua kunifurahisha mno.Kumbuka hii hesabu [emoji1787][emoji1732]
Harmonizer = Reivani + Mbosso + Lavalava + Zuchu + Kwini dalin + wengineo
Ali "King" Kiba = Harmonizer + Dimondi + Nandi + Marioo + wasanii wengine wowote wa bongo unao wakubali
Mangi sina au Mangi melik
Nenda kwa mangi chukua twist tangawiz
Shida ni kwamba spotify msanii analipwa $0.006-0.0084 per play.