Tunakuelewa humu JF umeingizwa kichwa WCB tigo ipo JF,siyo mbayaIla kwenye digital platform ndiye anaye sikilizwa sana,ukimtoa Diamond, sasa sijajua hao wanao streams WCB wanawashikia risasi wasikilize nyimbo zake.
Hapo ndipo ujue husicho kipenda ww, usizani kinachukiwa na kila mtu, mpaka mtu analipia hela kustream mziki wa msanii husika jua kazi imefanyika.
Wanao mshirikisha nao wanataka washare mashabiki na ndio maana ya Collabo.
Asifiae mvua imemnyeshea,mpaka unaongea hivyo unaonekana una experience ya kuingizwa kichwa,sikulaumu akili zako zimeishia hapo.Tunakuelewa humu JF umeingizwa kichwa WCB tigo ipo JF,siyo mbaya
kitendo cha rayvany kufanya mziki bila makiki wala masifa alafu anatoboa kirahisi kinawaumiza sana mapimbi.Wimbo wa karantini umeenda vizuri Ile flow ya mziki ,mara Mamaaa nimejikata bila flow ya biti,naona producer aliunga unga tu.
Huu wimbo wa Whozu "mda wetu mkali balaa ''. Mara rayvanny kaja na ,'kalaaa kalaaa kalaaa laaaa" lebo inamlinda tu ,Ila kwa kuunganga hivo hata mama ntilie anaweza akaunganisha biti huku anasikilizia mchicha uieve vizuri...
Harmonize anasema hao viewers ni marobotIla kwenye digital platform ndiye anaye sikilizwa sana,ukimtoa Diamond, sasa sijajua hao wanao streams WCB wanawashikia risasi wasikilize nyimbo zake.
Hapo ndipo ujue husicho kipenda ww, usizani kinachukiwa na kila mtu, mpaka mtu analipia hela kustream mziki wa msanii husika jua kazi imefanyika.
Wanao mshirikisha nao wanataka washare mashabiki na ndio maana ya Collabo.
Nchi kama Tanzania inabidi kujivunia sana kuwa na mwanamuziki kama ALIKIBA.Uyu jamaa kashakua Kibuyu ana keraa balaa
Mwache aseme ila uzuri haikibadiliki kitu dogo kwenye digital platforms anafanya vizuri.Harmonize anasema hao viewers ni marobot
Tunakuelewa humu JF umeingizwa kichwa WCB tigo ipo JF,siyo mbaya
Labda uko kwenu, dj gani atapiga ngonjera klabuniHakuna msanii bongo ambae nyimbo zake zinapigwa club kama Rayvanny...kama yupo nitajieni