Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Wimbo wa karantini umeenda vizuri Ile flow ya mziki ,mara Mamaaa nimejikata bila flow ya biti,naona producer aliunga unga tu.
Huu wimbo wa Whozu "mda wetu mkali balaa ''. Mara rayvanny kaja na ,'kalaaa kalaaa kalaaa laaaa" lebo inamlinda tu ,Ila kwa kuunganga hivo hata mama ntilie anaweza akaunganisha biti huku anasikilizia mchicha uieve vizuri...