Rayvanny huyu mrembo imekuwaje tena

Rayvanny huyu mrembo imekuwaje tena

[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] umeanza kichaa chako hhaha
 
Hawa kuwaelewa kazi kweli, kuna ambae nilikua naangalia nae mpira akaanza, "I wish ningezaliwa ulaya" kisa kamwona Ronaldo, mpaka Leo anapiga simu, na vi-message anatuma nimemkaushia, achati na Ronaldo sasa, pambaf zake.
Hahaha we jamaa una wivu hadi na ronaldo
 
Nimesikia amesea... " i am going to smash ray vanny"
Dah.. my man ray vanny wakati ndio huu... smash her back kabla hajaolewa
 
Back
Top Bottom