Rayvanny kaambiwa alipe milioni 500 aondoke WCB

Hivi si huwa wanasema hawa wasanii wana mahoteli na majumba ya kighorofa ghorofa, wanashindwaje kulipa hizo hela?
 
Asante.

Walau kuna kitu nimeelewa hapa.
 
sasa mkuu mambo ya rayvan na wasafi ndio yakufanye kututukana watz wote..

sisi tumekosea wapi..
 

Sasa mnalalamika nini si alisaini mkataba mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…