Rayvanny katoa album kali sana

Rayvanny katoa album kali sana

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Huyu kijana mpambanaji alikua kapotea Sasa naona karudi kwenye ubora wake wa zamani kijana katoa ngoma zote Kali kwenye album huyu na harmonize ndio wasanii wangu Bora tanzania milele
 
Seriously sizani kama hi jamaa ina mashabiki aiseeee...

Yaani huwa natafuta sana mashabiki wa rayvanny ila siwaoni aiseee
 
Back
Top Bottom