Rayvanny kawaumiza Sana Wasafi

Huyu ni chawa anaelazimisha undugu.

Yaani bila hao kina vanny na harmo hizo asilimia 60 angepata wapi huyu?
Kwanza mtaji ni hao kina mbosso sijui zuchu wao ndio mtaji wa kuzalisha pesa kisha dai achukue chake na zinazobaki awape halafu anadai kawasaidia,

Kawasaidia nini sasa? Mbona hiyo ni biashara?

Kinachoshangaza ni hii nguvu ya kumtetea kila linapotokea songombingo..

Naye rayvany ni jinga sana acha likome
Wakati ule ugomvi wa harmo na dai,yeye rayvany akajitia kuingilia kwamba akadhani Diamond anampenda sanaaa..

Kumbe lilikuwa linajiharibia hili bonge lenyewe likafuata mkumbo,
Sasa acha akione cha mtema kuni,
 
Rayvany naye mjinga sana
Wakati ule akajidai kuingilia ugomvi wa harmo na Diamond..

Kulikuwa na ulazima gani? Alidhani diamonD anampenda sana yeye akavaa ugomvi wa watu,

Sasa anaonja joto la jiwe mwenzie harmo amesha cope hali na muziki wake unaenda.
 
Mataga wa WCB mmepanic kweri-kweri baada dhulma Za wasafi kuanza kuwekwa wazi na Rayvan 😂
 
Dogo acha jazba za kike’
hata harmonize mlimtukana hadi na kabila lake leo rayvan anadai haki zake mmejazibika mnaanza kusema wanyakyusa sio watu
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]kaazi kweli kweli
 
Nyumba 4 anafanya mchezo uyu pale wasafi walikuwa wana act kuwa ni matajiri ila in reality wanajijua wenyewe maisha yao yalivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti bora harmonize pumbaf, wewe si ndio ulisema jamaa kajenga nyumba halafu kaichoma moto
 
Kwani hawajapata pesa...mtu ulikuwa Huna hata 100 leo mtu kakufanya una miliki 1000 si umepiga hatua
Huyo rayvany bila kwenda huko kwq diamond angejulikana na kupata vijihela,ashukuru alipofikia

Ova
 
Hiyo ni biashara mkuu
Yaani mm nkutoe madongo kuinama
Niku brand, nkugharamikie alafu utoke
Burebure

Ova
 
Kwa upande wangu sikubaliani na ushauri wa Romy,binafsi ningekua diamond nisingeacha kusaidia wale ninao ona wana kitu ndani yao ila TU, kutokana na hawa waliopita basi ningejifunza kuptia wao.

Mikataba na hela tulizokubaliana watalipa zinaonekana ni ndogo kiasi kwamba wakitoka wanazikusanya wanazitoa,ningeongeza dau la kuondoka Yani siku unaondoka Pesa ambayo utaniachia nadhani itantosha kufungua Radio au Tv station zingine mbili.

Kuondoka kwenda kujitegemea isiwe rahisi kama diamond alivyorahisisha,hivi vi milioni milioni ni vipesa vidoo sana Diamond anajionea kwake yeye mwenyewe Akiambiwa leo atoe Mil.500 ni anagusa tu hii hapa.

sasa chakufanya ili kukomesha wale wapenda mserereko ni kuongeza pesa ya kuvunja mkataba,namimi nitawekeza kwao kwa ukubwa mara 5 ya hawa walio ondoka,Lakini siku ukitaka kuondoka ndio siku yangu ya kuvunja Kikoba nilichowekeza kwako miaka yote.

Biashara ya kukuza wasanii ni nzuri sishauri Diamond aiache ila tu kuptia biashara hiyo aangalie namna atakavyo pata more money sio kirahisi rahisi tu mtu unajiondokea,Milioni kitu gani! weka Pesa za kueleweka mtu akiwaza kuondoka anajiona kabisa namna hela itavyomtoka.

Siwezi acha biashara kisa tu niliowasaidia wananionyesha dharau,ila kupitia wao watakua mifano hai kwa wote nitakaowasaidia,sitaki dharau.
 

Awoooteeee
 
Aliyekuwa mtungaji wa nyimbo ni nani pale wasafi, mbona niliwahi sikia Domo akikili kwa kinywa chake kuwa Van ndo kasaidia sana kutunga Hit songs kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…