Rayvanny kawaumiza Sana Wasafi

Chawa mkuu wa WCB uliyekua unakesha humu kumsifia Rayvany leo hii mara umegeuka na kumponda! Story zako sasa,mara Rayvany kachoma moto Nyumba mpya,mara ulete screen shot anavyopiga hela huko Online!

😃😃😃😃
 
Ana v8 na nyumba nne ?
 
Diamond ndo huwa anawaonea wivu hataki mtubwa kushindana nae anachotaka ni yeye kuwa ontop muda wote., Ukishakuwa na boss anaforce nyimbo yako aweke mashairi kwa lazima japo hukutaka ujue kwsha habari yake

Huyo na yeye na mdomo wake inaonekana anapiga blow job sana
 
Mkumbushe huyo kaka yake kwamba karma hujirudia

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Chawa umeumia sana mpaka unajuta
 
Kabisaa,
Unampa msanii mkataba wa Miaka 10,
Baada ya Miaka 10 atakua kwenye ile ile pick au ndio atamkacha atafute damu changa wengine halafu msanii abaki na stress mwishowe awe teja,

Mtu lazima ajiongeze bhana kama yeye alivyojiongeza.
Hakuna kitu kibaya kwenye lebo kutengwa, uko benchi hauna thamani Bora utoke ukiwa kwenye peak
 
Kwani mkataba si 60%40% na diamond alisema sio charity ni biashara sasa lawama za nini. Na si anatakiwa alipe 850mil sasa mbona hasira zote za nini
 
Ilishavuja voice wakimjadili boss wao yeye na konde wakaipotezea
 
Ameongea point sana.
Mbongo hafai kushikwa mkono kamwe
Kwani alikuwa akiwahudumia bure wao wamebweteka? Hiyo 60 ilikuw inatoka wapi? Nilichogundua mtoto wa Tandale ana mashabikiwa aina yake naweza kusema NI wa hovyo maana wanatetea wasichokijua, kwani huyu Diamond aliibuka tu bila msaada je waliomshika mkono kawalipa nini?

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
We bwana wewe una matatizo wanakyusa sio watu kwahiyo ni ngedere? Mtoto wa watu kaamua kuondoka zake kama alivyo kuja mnaanza kulia lia mnataka nini kingine mmtoe kafala au??? Vijana wenye vipaji wapo wengi tu mtaan wapen support sio lazima mmgande gande vanny boy
 
Ondoa neno kusaidia hata wao wanakiri hawasaidii ila ni biashara, kwingineno nakubaliana na wewe na wao
 
Aliyekuwa mtungaji wa nyimbo ni nani pale wasafi, mbona niliwahi sikia Domo akikili kwa kinywa chake kuwa Van ndo kasaidia sana kutunga Hit songs kibao
Branding, hizo ni sehemu ya gharama ya mkataba

Kumpa mtu thamani
 
Ukaliwe huko nyambafu wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…