Young fadson
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 1,177
- 1,406
Anavuna alichokipanda, aliwakashfu waliomleta mjin Acha nae apewe tuAlichokisema kina ukweli,
Hata mzazi akikosea wakati mwingine si busara kuzozana nae ni utovu wa nidhamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anavuna alichokipanda, aliwakashfu waliomleta mjin Acha nae apewe tuAlichokisema kina ukweli,
Hata mzazi akikosea wakati mwingine si busara kuzozana nae ni utovu wa nidhamu.
Chawa mkuu wa WCB uliyekua unakesha humu kumsifia Rayvany leo hii mara umegeuka na kumponda! Story zako sasa,mara Rayvany kachoma moto Nyumba mpya,mara ulete screen shot anavyopiga hela huko Online!Rayvanny anataka mshtaki Mondi kwa Samia na ishu ipo kwa Mchengelwa.
Kwenye public ana act anatoka kwa wema ila nyuma ya pazia bora Harmonize.
Nilikuwa naskiaga tu wanyakyusa sio watu sasa ndio nimeamini
THT wamekukataa
Tiptop wamekukataa
Yamoto wamekukataa
Wasafi ikakugeuza supastaa leo unaongea shombo eti Mondi alikuwa anakunyanyasa alikuwa hakupi superstar treatment...umejenga nyumba nne ukiwa Wasafi na unatembelea V8 unataka upate nini au uwe Mondi?
Ana v8 na nyumba nne ?Rayvanny anataka mshtaki Mondi kwa Samia na ishu ipo kwa Mchengelwa.
Kwenye public ana act anatoka kwa wema ila nyuma ya pazia bora Harmonize.
Nilikuwa naskiaga tu wanyakyusa sio watu sasa ndio nimeamini
THT wamekukataa
Tiptop wamekukataa
Yamoto wamekukataa
Wasafi ikakugeuza supastaa leo unaongea shombo eti Mondi alikuwa anakunyanyasa alikuwa hakupi superstar treatment...umejenga nyumba nne ukiwa Wasafi na unatembelea V8 unataka upate nini au uwe Mondi?
Diamond ndo huwa anawaonea wivu hataki mtubwa kushindana nae anachotaka ni yeye kuwa ontop muda wote., Ukishakuwa na boss anaforce nyimbo yako aweke mashairi kwa lazima japo hukutaka ujue kwsha habari yakeRommy jons amuandikia barua ya wazi diamond platnumz
"Barua ya wazi kwa mdogo wangu Nasibu Abdul ama diamond platnumz Nakumbuka ulivyoanza kutoa nyimbo na wasanii tofauti na wa nchi tofauti Soko lako hadi number zako zilikua kwa kasi sana kwenye mziki wako hadi kupelekea kua msanii bora afrika mashariki Sio sababu wewe ndio ulikua unajua kuimba peke ako hapana!! Bali ulikubali kuwekeza muda, akili hadi pesa kwenye biashara yako hadi ikafika kipindi tukawa tunashangaa kolabo zako Mara na davido mara p square mara mr flava na ndio watu waliokua wa moto kweli kweli kipindi hicho!!!
Ushauri wa wazi kwako!! Hata kama ni biashara ama kukuza vipaji vya mtaani nadhani sasa inatosha Kwanini usiwekeze nguvu, akili, pesa kwenye biashara yako ya radio na tv?? Wanasema “kikulacho kinguoni mwako” Walewale uliowafungulia njia ndio wapo nyuma yako kukukashifu,kukuponda hata kukukebehi!! Tukiangalia top charts wasanii wote ni wale waliotoka kwako ama waliopo kwako
Hii ni wazi kwamba usingekua na wasanii number za mwanzo zote huenda zingekua za kwako kwa kipindi kirefu mno Ni kweli kila anaekua ana hitaji kutoka kwenye familia na kujitaftia ugali mwenyewe na kutengeneza familia yake Sasa ni lazima kumponda ama kumkebehi mzazi wako??
Lil wayne bado yupo na kina drake na juzi waliperform pamoja kwenye tamasha la drake Usher raymond bado yupo na justin beiber na anaendelea kunufaika na matunda yake Sijajua huku kwetu ni ulimbukeni wa pesa nyingi za ghafla,tabia ama uelewa ni mdogo!!
Jaribu kuwekeza nguvu zako kwako mwenyewe tuone kwa sasa hivi huenda ungekua na album moja na chris brown sasa hivi Kuliko kuwekeza nguvu,muda kwa watu wasio na shukran!!!! Naomba kuwasilisha !!!!
From your lovely brother [emoji1665][emoji1665][emoji1665]"
Mkumbushe huyo kaka yake kwamba karma hujirudiaRommy jons amuandikia barua ya wazi diamond platnumz

Chawa umeumia sana mpaka unajutaRayvanny anataka mshtaki Mondi kwa Samia na ishu ipo kwa Mchengelwa.
Kwenye public ana act anatoka kwa wema ila nyuma ya pazia bora Harmonize.
Nilikuwa naskiaga tu wanyakyusa sio watu sasa ndio nimeamini
THT wamekukataa
Tiptop wamekukataa
Yamoto wamekukataa
Wasafi ikakugeuza supastaa leo unaongea shombo eti Mondi alikuwa anakunyanyasa alikuwa hakupi superstar treatment...umejenga nyumba nne ukiwa Wasafi na unatembelea V8 unataka upate nini au uwe Mondi?
Hakuna kitu kibaya kwenye lebo kutengwa, uko benchi hauna thamani Bora utoke ukiwa kwenye peakKabisaa,
Unampa msanii mkataba wa Miaka 10,
Baada ya Miaka 10 atakua kwenye ile ile pick au ndio atamkacha atafute damu changa wengine halafu msanii abaki na stress mwishowe awe teja,
Mtu lazima ajiongeze bhana kama yeye alivyojiongeza.
Kwani mkataba si 60%40% na diamond alisema sio charity ni biashara sasa lawama za nini. Na si anatakiwa alipe 850mil sasa mbona hasira zote za niniRayvanny anataka mshtaki Mondi kwa Samia na ishu ipo kwa Mchengelwa.
Kwenye public ana act anatoka kwa wema ila nyuma ya pazia bora Harmonize.
Nilikuwa naskiaga tu wanyakyusa sio watu sasa ndio nimeamini
THT wamekukataa
Tiptop wamekukataa
Yamoto wamekukataa
Wasafi ikakugeuza supastaa leo unaongea shombo eti Mondi alikuwa anakunyanyasa alikuwa hakupi superstar treatment...umejenga nyumba nne ukiwa Wasafi na unatembelea V8 unataka upate nini au uwe Mondi?
Ilishavuja voice wakimjadili boss wao yeye na konde wakaipotezeaHuyu ni chawa anaelazimisha undugu.
Yaani bila hao kina vanny na harmo hizo asilimia 60 angepata wapi huyu?
Kwanza mtaji ni hao kina mbosso sijui zuchu wao ndio mtaji wa kuzalisha pesa kisha dai achukue chake na zinazobaki awape halafu anadai kawasaidia,
Kawasaidia nini sasa? Mbona hiyo ni biashara?
Kinachoshangaza ni hii nguvu ya kumtetea kila linapotokea songombingo..
Naye rayvany ni jinga sana acha likome
Wakati ule ugomvi wa harmo na dai,yeye rayvany akajitia kuingilia kwamba akadhani Diamond anampenda sanaaa..
Kumbe lilikuwa linajiharibia hili bonge lenyewe likafuata mkumbo,
Sasa acha akione cha mtema kuni,
Kwani alikuwa akiwahudumia bure wao wamebweteka? Hiyo 60 ilikuw inatoka wapi? Nilichogundua mtoto wa Tandale ana mashabikiwa aina yake naweza kusema NI wa hovyo maana wanatetea wasichokijua, kwani huyu Diamond aliibuka tu bila msaada je waliomshika mkono kawalipa nini?Ameongea point sana.
Mbongo hafai kushikwa mkono kamwe
Na akitaka kujitoa alipe 500m na maneno ya kashfa juuAnaposem aanasaidiwa inaingia akilini kweli wkt mtu ana kipaji chake anaimba kwa koo lake na bado anachukua 60% huo ni msaada? Akae mwenyewe basi ajisaidie
Wanaumbuka wazi wazi, mxxxieeeeeew.Nyumba 4 anafanya mchezo uyu pale wasafi walikuwa wana act kuwa ni matajiri ila in reality wanajijua wenyewe maisha yao yalivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
At least yeye Domo sawa. Sio hawa labours wake. LolIla mondi naona kwq wasanii wa kibongo yeye katengeneza pesa
Ova
We bwana wewe una matatizo wanakyusa sio watu kwahiyo ni ngedere? Mtoto wa watu kaamua kuondoka zake kama alivyo kuja mnaanza kulia lia mnataka nini kingine mmtoe kafala au??? Vijana wenye vipaji wapo wengi tu mtaan wapen support sio lazima mmgande gande vanny boyRayvanny anataka mshtaki Mondi kwa Samia na ishu ipo kwa Mchengelwa.
Kwenye public ana act anatoka kwa wema ila nyuma ya pazia bora Harmonize.
Nilikuwa naskiaga tu wanyakyusa sio watu sasa ndio nimeamini
THT wamekukataa
Tiptop wamekukataa
Yamoto wamekukataa
Wasafi ikakugeuza supastaa leo unaongea shombo eti Mondi alikuwa anakunyanyasa alikuwa hakupi superstar treatment...umejenga nyumba nne ukiwa Wasafi na unatembelea V8 unataka upate nini au uwe Mondi?
Inaonekana machawa wanalipwa vizuriEti bora harmonize pumbaf, wewe si ndio ulisema jamaa kajenga nyumba halafu kaichoma moto
Ondoa neno kusaidia hata wao wanakiri hawasaidii ila ni biashara, kwingineno nakubaliana na wewe na waoKwa upande wangu sikubaliani na ushauri wa Romy,binafsi ningekua diamond nisingeacha kusaidia wale ninao ona wana kitu ndani yao ila TU, kutokana na hawa waliopita basi ningejifunza kuptia wao.
Mikataba na hela tulizokubaliana watalipa zinaonekana ni ndogo kiasi kwamba wakitoka wanazikusanya wanazitoa,ningeongeza dau la kuondoka Yani siku unaondoka Pesa ambayo utaniachia nadhani itantosha kufungua Radio au Tv station zingine mbili.
Kuondoka kwenda kujitegemea isiwe rahisi kama diamond alivyorahisisha,hivi vi milioni milioni ni vipesa vidoo sana Diamond anajionea kwake yeye mwenyewe Akiambiwa leo atoe Mil.500 ni anagusa tu hii hapa.
sasa chakufanya ili kukomesha wale wapenda mserereko ni kuongeza pesa ya kuvunja mkataba,namimi nitawekeza kwao kwa ukubwa mara 5 ya hawa walio ondoka,Lakini siku ukitaka kuondoka ndio siku yangu ya kuvunja Kikoba nilichowekeza kwako miaka yote.
Biashara ya kukuza wasanii ni nzuri sishauri Diamond aiache ila tu kuptia biashara hiyo aangalie namna atakavyo pata more money sio kirahisi rahisi tu mtu unajiondokea,Milioni kitu gani! weka Pesa za kueleweka mtu akiwaza kuondoka anajiona kabisa namna hela itavyomtoka.
Siwezi acha biashara kisa tu niliowasaidia wananionyesha dharau,ila kupitia wao watakua mifano hai kwa wote nitakaowasaidia,sitaki dharau.
Branding, hizo ni sehemu ya gharama ya mkatabaAliyekuwa mtungaji wa nyimbo ni nani pale wasafi, mbona niliwahi sikia Domo akikili kwa kinywa chake kuwa Van ndo kasaidia sana kutunga Hit songs kibao
Ukaliwe huko nyambafu weweKwani alikuwa akiwahudumia bure wao wamebweteka? Hiyo 60 ilikuw inatoka wapi? Nilichogundua mtoto wa Tandale ana mashabikiwa aina yake naweza kusema NI wa hovyo maana wanatetea wasichokijua, kwani huyu Diamond aliibuka tu bila msaada je waliomshika mkono kawalipa nini?
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app