[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkiwadanganya watu wa FB inatosha, vanny yupi mwenye pesa chafu?? Nacheka km mwehu lol.
Diamond ndo huwa anawaonea wivu hataki mtubwa kushindana nae anachotaka ni yeye kuwa ontop muda wote., Ukishakuwa na boss anaforce nyimbo yako aweke mashairi kwa lazima japo hukutaka ujue kwsha habari yake
Huyo na yeye na mdomo wake inaonekana anapiga blow job sana
Usilazimishe kila mtu awe na mawazo sawa na wewe.Ndio, nakaa hapa na imagine maisha yako. You sound like a very sad person. Wewe binadamu gani kila siku negative tu. Watu waliokaribu na wewe kazi wanayo kwelikweli.
Na Rayvan leo kawa negative 🤣🤣🤣Mkuu unapenda Sana kuwa negative
KwangaruTutajie nyimbo moja ambayo mondi alifosi aingize vocal zake [emoji23] moja tuuu
Labda wewe ndo uliandika na penseliWakati wanasaini mkataba kipengele cha mil 500 ya kuvunja mkataba hawakukiona??
Kwa hiyo kukubali kufanya kazi yako ndio umlipe unavyotaka wewe kinyume na makubaliano.....??Una uwezo wa kukataa mana hakushikii bunduki ili ukubaLi [emoji2217]
Wakubaliano yapi yamekiukwa?Kwa hiyo kukubali kufanya kazi yako ndio umlipe unavyotaka wewe kinyume na makubaliano.....??
Hapana ndugu Mimi mchango haukuhusisha mkataba wa huyo kijana na Diamond nimehusianisha tu ili andiko na namna ninayoyaona huku mitaani....Wakubaliano yapi yamekiukwa?
Mtu kashalipa hela ya mkataba,Wana mtolea maneno ya ni nini?Si mlisema kaondoka vzr? Ila waswahiili sisi jamani. Mmakonde ndo alijua kuwafyata midomo
Umeongea point sana.Mtu kashakulipa hela.Unaumia nini tena apo sasa.Inaonekana WCB wanaumia sana kwa wasanii kuondoka...
Na inaonekana wasanii ni chanzo kikuu cha mapato yao sana sana machawa, hivyo kuondoka kwa mtu mirija inakatwa..
Na inavyoonekana ukishatoka kule kama hijajipanga hakika utakuwa teja
Sasa wewe ndio umeongea point.Machawa promax
Diamond kachagua hiyo ni biashara hakufanya Hisani Kwa hao wasanii aliona kilichomo ndani Yao ndio maana kawekeza pesa zake na alitegemea faida. Hiyo ndio changamoto ya hiyo biashara msanii akishakua mkubwa atataka ajitegemee ni swala la Muda Tu.
Wanyakyusa wapumzishweRayvanny anataka mshtaki Mondi kwa Samia na ishu ipo kwa Mchengelwa.
Kwenye public ana act anatoka kwa wema ila nyuma ya pazia bora Harmonize.
Nilikuwa naskiaga tu wanyakyusa sio watu sasa ndio nimeamini
THT wamekukataa
Tiptop wamekukataa
Yamoto wamekukataa
Wasafi ikakugeuza supastaa leo unaongea shombo eti Mondi alikuwa anakunyanyasa alikuwa hakupi superstar treatment...umejenga nyumba nne ukiwa Wasafi na unatembelea V8 unataka upate nini au uwe Mondi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baki hivyo hivyo haina shaka kwa sisi tunaomfahamu haitupi shida wewe kupinga coz haisaidii kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkiwadanganya watu wa FB inatosha, vanny yupi mwenye pesa chafu?? Nacheka km mwehu lol.
Usilazimishe kila mtu awe na mawazo sawa na wewe.
Pia acha kuni-imagine mimi nina mke na sina mpango wa kuongeza mke wa pili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani mkeo na wewe wote ni wanawake tofauti iliyopo ni mmoja tu kati yenu hazioni siku zake.