Rayvanny kawaumiza Sana Wasafi

Rayvanny kawaumiza Sana Wasafi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkiwadanganya watu wa FB inatosha, vanny yupi mwenye pesa chafu?? Nacheka km mwehu lol.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Diamond ndo huwa anawaonea wivu hataki mtubwa kushindana nae anachotaka ni yeye kuwa ontop muda wote., Ukishakuwa na boss anaforce nyimbo yako aweke mashairi kwa lazima japo hukutaka ujue kwsha habari yake

Huyo na yeye na mdomo wake inaonekana anapiga blow job sana

Tutajie nyimbo moja ambayo mondi alifosi aingize vocal zake [emoji23] moja tuuu
 
Wakati wanasaini mkataba kipengele cha mil 500 ya kuvunja mkataba hawakukiona??
 
Ndio, nakaa hapa na imagine maisha yako. You sound like a very sad person. Wewe binadamu gani kila siku negative tu. Watu waliokaribu na wewe kazi wanayo kwelikweli.
Usilazimishe kila mtu awe na mawazo sawa na wewe.
Pia acha kuni-imagine mimi nina mke na sina mpango wa kuongeza mke wa pili.
 
 
Inaonekana WCB wanaumia sana kwa wasanii kuondoka...
Na inaonekana wasanii ni chanzo kikuu cha mapato yao sana sana machawa, hivyo kuondoka kwa mtu mirija inakatwa..

Na inavyoonekana ukishatoka kule kama hijajipanga hakika utakuwa teja
Umeongea point sana.Mtu kashakulipa hela.Unaumia nini tena apo sasa.
 
Machawa promax

Diamond kachagua hiyo ni biashara hakufanya Hisani Kwa hao wasanii aliona kilichomo ndani Yao ndio maana kawekeza pesa zake na alitegemea faida. Hiyo ndio changamoto ya hiyo biashara msanii akishakua mkubwa atataka ajitegemee ni swala la Muda Tu.
Sasa wewe ndio umeongea point.
 
Rayvanny anataka mshtaki Mondi kwa Samia na ishu ipo kwa Mchengelwa.

Kwenye public ana act anatoka kwa wema ila nyuma ya pazia bora Harmonize.

Nilikuwa naskiaga tu wanyakyusa sio watu sasa ndio nimeamini

THT wamekukataa
Tiptop wamekukataa
Yamoto wamekukataa
Wasafi ikakugeuza supastaa leo unaongea shombo eti Mondi alikuwa anakunyanyasa alikuwa hakupi superstar treatment...umejenga nyumba nne ukiwa Wasafi na unatembelea V8 unataka upate nini au uwe Mondi?
Wanyakyusa wapumzishwe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkiwadanganya watu wa FB inatosha, vanny yupi mwenye pesa chafu?? Nacheka km mwehu lol.
Baki hivyo hivyo haina shaka kwa sisi tunaomfahamu haitupi shida wewe kupinga coz haisaidii kitu
 
Back
Top Bottom