Rayvanny mbwembe za kutengeneza swimming pool ya kufanyia concert iliyoghalimu milioni 70 imepasuka

Rayvanny mbwembe za kutengeneza swimming pool ya kufanyia concert iliyoghalimu milioni 70 imepasuka

Kwa clip Moja nimeona yule msanii rayvanny akionesha ujenzi wa swimming pool kwa ajili ya tamasha kama walivo kawaida Yao.
Sasa kamchukua fundi maiko na ghalama za kuongeza sifuri imetumika milioni 70.
Limepasuka.
Mwenye picha
Upo msemo usemao...
Ukiona mwanaume mwenzio ameanguka usimcheke jifunze
 
Swimming inafika m70 jambo dogo sana hilo.
Ila tu muhusika hakufata masharti ya swimming pool. Naamini alitaka kuiacha hapo kwa ajili ya wataobaki.
Ila rayvanny mshamba saaaaana.
 
Back
Top Bottom