Kwa clip Moja nimeona yule msanii rayvanny akionesha ujenzi wa swimming pool kwa ajili ya tamasha kama walivo kawaida Yao.
Sasa kamchukua fundi maiko na ghalama za kuongeza sifuri imetumika milioni 70.
Limepasuka.
Mwenye picha
Swimming inafika m70 jambo dogo sana hilo.
Ila tu muhusika hakufata masharti ya swimming pool. Naamini alitaka kuiacha hapo kwa ajili ya wataobaki.
Ila rayvanny mshamba saaaaana.