Rayvanny, Mzava watuhumiwa kwa Utapeli

Rayvanny, Mzava watuhumiwa kwa Utapeli

Huyu Rayvanny juzi tu ametajwa na BabaLevo kwenye ugomvi wake na Harmonize kwenye mgao wa chips za 10M nae alikua na mgao wake wa laki 8 hivi. Leo tena anatajwa na Kayumba wamemdhulumu 7M toka February mwaka jana. Daaaaah hawa wasanii wetu bhana wanastaajabisha sana. Huyu Rayvanny si ndo hua anajenga mabwawa artificial kwa gharama kubwa na kuyabomoa kwenye Wasafi Festival ama wasanii wetu pesa zao ni za majini zina masharti?! Ama sisi mashabiki ndo tunawakuza sana kwa kuwapa utajiri ambao hawana?! Au sanaa ya music hapa bongo hailipi kama tunavyofikiria?![emoji848][emoji848]
Jamaa chenga Sana show off nyingi Ila chungu kitupu
 
Wewe hujawahi kudhulumiwa itakua hujawahi hujawahi hujawahi yaani ubebe kokoto usombelee zege usiku mzima alafu asubuhi upo hoi mgongo hauna ushirikiano na shingo na kichwa kishapoteza uelekeo kwa kazi Jana usiku unaletewa uduwanzi tena kawavumilia mno angekua mtu mwingine mwenye karba km yangu kingekua kimeshanuka mapema sana ningekiwasha cha Malawi mixa huko Kapirimposhi alafu tuelezane vizuri
Bangi nilivuta kipindi naingia mjini ....
 
Alafu wasani bongo wakiulizwa wanakuambia ac yangu ina kama bilion 5 hivi

Ova
 
Haki haipatikani kwa kuomba Huruma hata siku moja hapo ni kujizima data na kwenda ofisi yao ya director na NLM unafanya varangati la kufa mtu..Yani unawapiga biti kuanzia msanii na mabodigadi uchwara wake unashika Panga yani ni fujo mwanzo mwisho...Ni vile tu wanaume wa Dar ni waoga/lainilaini ila Mkoani kama kanda maalum Mara unaanzaje kuleta ujinga kama huo kama hujatenganishwa kichwq na kiwiliwili

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom