Rayvanny, Mzava watuhumiwa kwa Utapeli

Jamaa chenga Sana show off nyingi Ila chungu kitupu
 
Bangi nilivuta kipindi naingia mjini ....
 
Alafu wasani bongo wakiulizwa wanakuambia ac yangu ina kama bilion 5 hivi

Ova
 
Haki haipatikani kwa kuomba Huruma hata siku moja hapo ni kujizima data na kwenda ofisi yao ya director na NLM unafanya varangati la kufa mtu..Yani unawapiga biti kuanzia msanii na mabodigadi uchwara wake unashika Panga yani ni fujo mwanzo mwisho...Ni vile tu wanaume wa Dar ni waoga/lainilaini ila Mkoani kama kanda maalum Mara unaanzaje kuleta ujinga kama huo kama hujatenganishwa kichwq na kiwiliwili

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…