tuzo zimekuwa nyingi nyingi mpaka zinapoteza mivuto,hongera kwaoMwanamziki kutoka label ya WCB Rayvanny Boy a.k.a Sauti ya Vanilla na director Kenny kutoka Zoom Production chini ya WCB, wameshinda tuzo ya AFRIMMA AWARD.
Rayvanny amechukua Video Bora of the Year Africa kupitia wimbo wa Tetema ft Diamond na Director Kenny amechukua Director Bora of the Year Africa kwa kuwabwaga mangwiji wengi wa kutengeneza video kali kupitia wimbo wa Tetema.
Lazima wapate nyingi maana ndio WCB CHAMA LAOtuzo zimekuwa nyingi nyingi mpaka zinapoteza mivuto,hongera kwao
alipaswa achukue hanscana iyo tuzo
Acha ushamba nawe hiyo ni video tu nasio nyimbo bora [emoji23][emoji23][emoji23] hata harmonize anaweza chukua siku moja tuzo kama hiyoAfu anatokea mtu mmoja ambae hajui mziki na mlevi anamshindanisha rayvanny na harmonize narudia tena(RAYVANNY>HARMONIZE).
Sio anaweza (probability can/can't), so achukue hata kesho ok Rayvanny&WCB BABA LAO OK.Acha ushamba nawe hiyo ni video tu nasio nyimbo bora [emoji23][emoji23][emoji23] hata harmonize anaweza chukua siku moja tuzo kama hiyo
Hv unajua konde boy alishachukua tuzo hiyo ya AFRIMMA mbele ya huyo van boy ilikuwa ni msanii bora chipukizi ( Best New Comer)Sio anaweza (probability can/can't), so achukue hata kesho ok Rayvanny&WCB BABA LAO OK.
Sasa msanii chipukizi ahaaaaaah rayvanny na harmonize nani ana tuzo nyingi...?(UNAIJUA BET AU UNAOSIKIAGA KWENYE BOMBA LA MAJI..?),,,naudia tenaaaa RAYVANNY>harmonize.Hv unajua konde boy alishachukua tuzo hiyo ya AFRIMMA mbele ya huyo van boy ilikuwa ni msanii bora chipukizi ( Best New Comer)
ππππ embu niambie huo ujinga unaotaka kusema kuhusu BET naijua BET kushinda unavyoijua ww.Sasa msanii chipukizi ahaaaaaah rayvanny na harmonize nani ana tuzo nyingi...?(UNAIJUA BET AU UNAOSIKIAGA KWENYE BOMBA LA MAJI..?),,,naudia tenaaaa RAYVANNY>harmonize.
Rayvanny ameshachukua ,je huyo harmonize ameshachukua.......?(rayvanny>diamond).[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] embu niambie huo ujinga unaotaka kusema kuhusu BET naijua BET kushinda unavyoijua ww.
Kachukua kwenye kipengere gani hiyo BET?Rayvanny ameshachukua ,je huyo harmonize ameshachukua.......?(rayvanny>diamond).
Rayvanny ni fundi Sana na ana self identification sio Kama harmo anaiga kuanzia sauti mpaka swaga za mondi.Kachukua kwenye kipengere gani hiyo BET?