Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,391
- 21,045
Kwani kuiga nikitu kibaya? Kama unaiga kitu kizuri na unakifanyia kazi nakinaleta maendeleo sio dhambi.Rayvanny ni fundi Sana na ana self identification sio Kama harmo anaiga kuanzia sauti mpaka swaga za mondi.