Super Villain JF-Expert Member Joined Jan 2, 2019 Posts 9,391 Reaction score 21,045 Nov 24, 2019 #21 innocent dependent said: Rayvanny ni fundi Sana na ana self identification sio Kama harmo anaiga kuanzia sauti mpaka swaga za mondi. Click to expand... Kwani kuiga nikitu kibaya? Kama unaiga kitu kizuri na unakifanyia kazi nakinaleta maendeleo sio dhambi.
innocent dependent said: Rayvanny ni fundi Sana na ana self identification sio Kama harmo anaiga kuanzia sauti mpaka swaga za mondi. Click to expand... Kwani kuiga nikitu kibaya? Kama unaiga kitu kizuri na unakifanyia kazi nakinaleta maendeleo sio dhambi.
4by94 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2019 Posts 9,214 Reaction score 8,306 Nov 25, 2019 #22 Usinijibu ivyo said: alipaswa achukue hanscana iyo tuzo Click to expand... Andaa zako
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Nov 25, 2019 #23 Hiyo tuzo ilipaswa achukue alikiba