donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Wakuu, huyu kijana wa WCB rayvanny ana striking resemblance na yule mchekeshaji wa kwenye mitandao anayejiita dulvani. Swali langu kwa wanaowafahamu, je hawa jamaa ni ndugu? Asante.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu shove it upHalafu i weje??
Acha utani bana raymond anapiga comedy??fafanua kidgo hapo mkuuHapana ila Raymond ni role model wa Dulvani si unajua hata Raymond anapiga comedy
Sure mkuu?Hapana ila Raymond ni role model wa Dulvani si unajua hata Raymond anapiga comedy
Sure mkuu?Hapana ila Raymond ni role model wa Dulvani si unajua hata Raymond anapiga comedy
Huyu Dogo asipobadilika mwisho wake atakuja kuwa GASHO.Huyu ni dullvani the comedian![]()
![]()
Kimsingi Dullyvan ni Rayvann-rapper.Wakuu, huyu kijana wa WCB rayvanny ana striking resemblance na yule mchekeshaji wa kwenye mitandao anayejiita dulvani. Swali langu kwa wanaowafahamu, je hawa jamaa ni ndugu? Asante.
Kweli, comedy yake imebase sana kikeHuyu Dogo asipobadilika mwisho wake atakuja kuwa GASHO.
Aisee, umeelezea vyemaKimsingi Dullyvan ni Rayvann-rapper.
Refer Hamo-rapper
Duuh sio kwa mfanano huuHuyu ni dullvani the comedian![]()
![]()
Umeona mkuu?Duuh sio kwa mfanano huu