Rayvanny na Harmonize nimeshindwa kuona nani zaidi ya mwenzie

Rayvanny na Harmonize nimeshindwa kuona nani zaidi ya mwenzie

Judi wa Kishua

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2012
Posts
1,159
Reaction score
1,274
Siku zote awa vijana wawili kutoka wcb napenda kuwasikiliza. Lakini mpaka leo nimeshindwa kung'amua nani anamzidi mwenzie. Leo naweza ona Ray mkali zaidi, kesho Hamo nae nikamuona zaidi.

Sasa hivi ndio wamenichanganya kabisa na nyimbo zao mpya.

Ama kweli Dai alichagua haswa vipaji.
 
Ngoja vijana wenzio waje sie wengine enzi zetu ni zile za dar jazz
 
Tatzo hawabadiliki melody zao. Alafu laizer nadhani ubunifu 0 now. Diamond fanyia kazi suala la studio. Biti za Nigeria hazifanani sana.
 
Ukishajua nani zaidi then what? Mmeanza kulinganishana ndani kwa ndani huh!!

Wewe furahia muziki wao kila mmoja kwa wakati wake.
 
Back
Top Bottom