ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Bado view laki 4 tu , kuifikia seduce me ya ali kiba? Muende you tube mkapunguze gape
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Qboy kafukuzwa na sallam alimpora demuWCB ni kundi la vijana wakike kwa waume kww jumla wanahesabika kama 13.
Kwa upande wa waimbaji wa muziki wanatambulika kama 7.
Mtayarishaji wa muziki wa WCB ni laizer au anaweza akawa luffa.
mbunifu wa WCB ni Qboy msafi.
Pia kuna dj ambaye ni romy jones.
Bila kuwasahau babu tale na sallam s.k
Hii ndiyo WCB ambayo inamilikiwa na diamond platnumz.
Kwa upande wa vijana mahiri wa wcb.
Kuna ray vanny ambaye mara nyingi ni msanii ambaye anaweza kumiliki jukwaa na kuitumia sauti yake vyema ikiwa pamoja na nyimbo nzuri anazoimba kwa ubunifu na ustadi wa hali ya juu.
Hakika naweza kusema ray vanny ni bora zaidi ya harmonize.
Harmonize anafanya mziki mzuri lakini amekosa ubunifu,
WCB nzima kwa upande wa waimbaji wameonekana kuimba kwa kuigana sauti, kama bosi wao diamond platnumz isipokuwa watu wawili tu, ambao ni Queen darling, na Mr. Lava lava.
Hicho ndicho kinacho shusha muziki mzima wa WCB wasafi.
Lakini nikiri ray vanny ni bora zaidi akifuatia Mr.lava lava na diamond platnumz.
Sahihihata mondi mwenyewe anajua kuwa konde boy ni matata..sema ukimuuliza hatoweza kuweka wazi ili kuepusha fitna na hasadi miongoni mwao...bt to me wcb nzima naona ni vichwa na kila mmoja ni mkali kwa nafac yake...ila linapokuja swali la nani yuko juu kati yao basi kwangu ni Diamond then Harmo anafuatia...
Sent using Jamii Forums mobile app
duuuuhSiku zote awa vijana wawili kutoka wcb napenda kuwasikiliza. Lakini mpaka leo nimeshindwa kung'amua nani anamzidi mwenzie. Leo naweza ona Ray mkali zaidi, kesho Hamo nae nikamuona zaidi.
Sasa hivi ndio wamenichanganya kabisa na nyimbo zao mpya.
Ama kweli Dai alichagua haswa vipaji.