Rayvanny na Harmonize nimeshindwa kuona nani zaidi ya mwenzie

Rayvanny na Harmonize nimeshindwa kuona nani zaidi ya mwenzie

Bado view laki 4 tu , kuifikia seduce me ya ali kiba? Muende you tube mkapunguze gape
 
Hermonize ni mkali sana tena ni hatari kwa sauti mashairi na Melody.
Anachukiwa na watu kwa sababu ya uwezo mkubwa alionao.

Kinachomfanya afananishwe na takataka kama Rayvany ndio kinachomfanya mond alinganishwe na kiba. yaan eti watz wanajifanya hawajui nani wa kimataifa kati ya mond na kiba au kati ya simba na yanga.
Aiyola bado show me Niambie Happybirthday.
Halafu Kwetu mrs super star remix aka kiki zezeta chuma ulete sugu remix utagundua nani mkali tusiongee tu tuweke na nyimbp twende YouTube twende tutafute zilizohit mtaani

Harmonize sio level ya Rayvany yule ni Level ya mond kiba dully na wengine kama ben pol belle 9

Rayvany level ya underground kama beka maromboso bright

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Harmonize tabia za kichko alizoanza zinämshusha...
 
hata mondi mwenyewe anajua kuwa konde boy ni matata..sema ukimuuliza hatoweza kuweka wazi ili kuepusha fitna na hasadi miongoni mwao...bt to me wcb nzima naona ni vichwa na kila mmoja ni mkali kwa nafac yake...ila linapokuja swali la nani yuko juu kati yao basi kwangu ni Diamond then Harmo anafuatia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WCB ni kundi la vijana wakike kwa waume kww jumla wanahesabika kama 13.

Kwa upande wa waimbaji wa muziki wanatambulika kama 7.

Mtayarishaji wa muziki wa WCB ni laizer au anaweza akawa luffa.

mbunifu wa WCB ni Qboy msafi.

Pia kuna dj ambaye ni romy jones.

Bila kuwasahau babu tale na sallam s.k

Hii ndiyo WCB ambayo inamilikiwa na diamond platnumz.

Kwa upande wa vijana mahiri wa wcb.

Kuna ray vanny ambaye mara nyingi ni msanii ambaye anaweza kumiliki jukwaa na kuitumia sauti yake vyema ikiwa pamoja na nyimbo nzuri anazoimba kwa ubunifu na ustadi wa hali ya juu.

Hakika naweza kusema ray vanny ni bora zaidi ya harmonize.

Harmonize anafanya mziki mzuri lakini amekosa ubunifu,

WCB nzima kwa upande wa waimbaji wameonekana kuimba kwa kuigana sauti, kama bosi wao diamond platnumz isipokuwa watu wawili tu, ambao ni Queen darling, na Mr. Lava lava.

Hicho ndicho kinacho shusha muziki mzima wa WCB wasafi.

Lakini nikiri ray vanny ni bora zaidi akifuatia Mr.lava lava na diamond platnumz.
 
Qboy kafukuzwa na sallam alimpora demu
 
hata mondi mwenyewe anajua kuwa konde boy ni matata..sema ukimuuliza hatoweza kuweka wazi ili kuepusha fitna na hasadi miongoni mwao...bt to me wcb nzima naona ni vichwa na kila mmoja ni mkali kwa nafac yake...ila linapokuja swali la nani yuko juu kati yao basi kwangu ni Diamond then Harmo anafuatia...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi
 
Siku zote awa vijana wawili kutoka wcb napenda kuwasikiliza. Lakini mpaka leo nimeshindwa kung'amua nani anamzidi mwenzie. Leo naweza ona Ray mkali zaidi, kesho Hamo nae nikamuona zaidi.

Sasa hivi ndio wamenichanganya kabisa na nyimbo zao mpya.

Ama kweli Dai alichagua haswa vipaji.
duuuuh
 
Back
Top Bottom