Judi wa Kishua
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,159
- 1,274
Mwanamke una roho mbaya wewe hata bure siliRayvany unamfananisha na Harmonize?
Ray yupo vizuri zaidi
Too bad...hiyo bure sikupi hata ndotoni kwakoMwanamke una roho mbaya wewe hata bure sili
Ndio, kwetu ushuani.
vibamia[emoji3][emoji3][emoji3]Kuna wenzako wanalia walidhani mapenzi pesa, kwenye suruali.......
ukiwa na pesa utasifiwa kitambii "baby me i like that" na kukupamba kwenye simu,,video,snapchat kumbe hana maana hadi mangi anamwita sweetheartKuna wenzako wanalia walidhani mapenzi pesa, kwenye suruali.......
Laizer ndo anaididmiza wcb wafanye mchakato ikiwezekan apigwe chiniTatzo hawabadiliki melody zao. Alafu laizer nadhani ubunifu 0 now. Diamond fanyia kazi suala la studio. Biti za Nigeria hazifanani sana.
Laizer ndo anaididmiza wcb wafanye mchakato ikiwezekan apigwe chini
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha roho mbaya wewe mwache kijana ajipatie riziki yake we unajuaje labda wenyewe ndo wanampa maelekezo ya melodyLaizer ndo anaididmiza wcb wafanye mchakato ikiwezekan apigwe chini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ray mbona hana cha maana, harmonize kiukweli yuko VizuriRayvany unamfananisha na Harmonize?
Ray yupo vizuri zaidi