RayVanny na Wasanii wa Marekani kulikoni?

RayVanny na Wasanii wa Marekani kulikoni?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Katika pitapiza zangu mitandaoni nimebahatika kukutana na maelezo ya Vanny boy dogo wa WCB anasema kafanya ngoma na Darulo and French Montana....katika umri mdogo kama ule ameanza mambo makubwa ambayo hat bosi wake alikua hajafikia hizo level...big up sana dogo...
 
next level mabo ya 'bifu' kati ya ulani na fulani yalipaswa yaishie enzi za tmk famili huko
 
watu wanoko kinoma eti wanamtafutia bifu dogo ray na boss wake wabongo bhana
 
Sijui tatizo ni nini wasanii wa afrika hawa hit marekani na nyimbo hazichezwi
 
Naona wanapotezaga muda tu...
 
Hakuna haja ya kutukana, kakujibu vyema kabisa.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kusoma na kuelewa,na wewe nakuambia zingatia nilichoandika then kajaribu kujielewesha japo kidogo ili usishobokee ulo.fa..
 
wanapata bahati sana ya kuimba huko mtoni ila sionagi kikubwa wanachofanya,yaani na wao wanaimba kama wamarekani,inakuwa ni mbongo ameenda kuomba mziki wa marekani marekani,matokeo nyimbo haimalizi hata wiki mbili,otherwise nawapongeza walau kwa kufika huko ila wabadilishe aina ya mziki wanaoimba huko,wabebe u Tanzania au uafrika
 
Back
Top Bottom