Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Ukizingatia nilichoandika siku nyingine hautorudia tena kuuliza upumb.avu...shwainBoss wake uyo uyo ndo anamuonganishia huko ..hivi wew unajuwa unachoongea
Hakuna haja ya kutukana, kakujibu vyema kabisa.Ukizingatia nilichoandika siku nyingine hautorudia tena kuuliza upumb.avu...shwain
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kusoma na kuelewa,na wewe nakuambia zingatia nilichoandika then kajaribu kujielewesha japo kidogo ili usishobokee ulo.fa..Hakuna haja ya kutukana, kakujibu vyema kabisa.
Ikiwa na kiwango inahit tu, yekeyeke ya mori kante , yossur ndo, ndaya ya mpongo love , azonto fuse odg, etcSijui tatizo ni nini wasanii wa afrika hawa hit marekani na nyimbo hazichezwi