Habarini wanajamvi wenzangu.
Bila kuzungusha Wala kupepesa macho niende moja kwa moja kwenye maada ya kuwa RAYVANNY ni Lulu ambayo hatutoipata Kama hatutaipa thamani inayostahili.
Hii Ni kutokana na Nyimbo ya maombolezo ya hayati MAGUFULI kuwa Nyimbo yenye hisia Kali sana na ambayo ukiisikiliza mpaka mwisho bila kulia Ni ngumu sana,yaani Ni very touchable na emotional sana.
Kuna nyimbo nyingi sana zimetolewa na vikundi vingi sana,ila ya RAYVANNY ni Moto wa kuotea mbali sana,maybe tusubiri ya WCB unaweza wakamfikia RAYVANNY CHUI wa NLM Label.
naona mikoba na viatu vya marehemu KOMBA vimepata mtu sahihi.
KUDOS KWA RAYVANNY NA NLM LABEL KWA WIMBO MZURI SANA WA MAOMBOLEZO.