PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Uwezi kumuelewa Kama umezoea kusikiliza yo go bast ma medulla[emoji23][emoji23][emoji23],nenda Spotify, apple,iTunes, youtube, Audiomack,Pandora, boomplay ndo wanao muelewa sanaSijawahi kumwelewaga kabisa huyo sijui mnamwita fisi sijui kenge nani!
King huyo wa bongo flavorMbeya boy..
Mbona mimi sijalia?Habarini wanajamvi wenzangu.
Bila kuzungusha Wala kupepesa macho niende moja kwa moja kwenye maada ya kuwa RAYVANNY ni Lulu ambayo hatutoipata Kama hatutaipa thamani inayostahili.
Hii Ni kutokana na Nyimbo ya maombolezo ya hayati MAGUFULI kuwa Nyimbo yenye hisia Kali sana na ambayo ukiisikiliza mpaka mwisho bila kulia Ni ngumu sana,yaani Ni very touchable na emotional sana.
Kuna nyimbo nyingi sana zimetolewa na vikundi vingi sana,ila ya RAYVANNY ni Moto wa kuotea mbali sana,maybe tusubiri ya WCB unaweza wakamfikia RAYVANNY CHUI wa NLM Label.
naona mikoba na viatu vya marehemu KOMBA vimepata mtu sahihi.
KUDOS KWA RAYVANNY NA NLM LABEL KWA WIMBO MZURI SANA WA MAOMBOLEZO.
Lilishaga vunjikaga zamani sanasorry ...nje ya mada kidogo.
Hivi T.O.T hawajatoa nyimbo bado or?
Kifoinaitwaje
Kipenda roho hula mishikaki mibichi huyo Dogo nje wcb si lolote hajui muziki yule!Uwezi kumuelewa Kama umezoea kusikiliza yo go bast ma medulla[emoji23][emoji23][emoji23],nenda Spotify, apple,iTunes, youtube, Audiomack,Pandora, boomplay ndo wanao muelewa sana
Endelea kukaza fuvu [emoji23][emoji23][emoji23]Mbona mimi sijalia?
Sawa nimekubali basi tafuta msanii anaemzidi huyu mauzo kwa hizo nimezokutajiaKipenda roho hula mishikaki mibichi huyo Dogo nje wcb si lolote hajui muziki yule!
Anajua sana. Ila anavyoongeaga huku kalegeza macho na kulamba midomo huwa anakera sanaaa. OoovaaaOfcoz jamaa anajua
Inashangaza sana mkuu...Mbona mimi sijalia?
Mbona la kawaida au gia ya kumsakia views?Habarini wanajamvi wenzangu.
Bila kuzungusha Wala kupepesa macho niende moja kwa moja kwenye maada ya kuwa RAYVANNY ni Lulu ambayo hatutoipata Kama hatutaipa thamani inayostahili.
Hii Ni kutokana na Nyimbo ya maombolezo ya hayati MAGUFULI kuwa Nyimbo yenye hisia Kali sana na ambayo ukiisikiliza mpaka mwisho bila kulia Ni ngumu sana,yaani Ni very touchable na emotional sana.
Kuna nyimbo nyingi sana zimetolewa na vikundi vingi sana,ila ya RAYVANNY ni Moto wa kuotea mbali sana,maybe tusubiri ya WCB unaweza wakamfikia RAYVANNY CHUI wa NLM Label.
naona mikoba na viatu vya marehemu KOMBA vimepata mtu sahihi.
KUDOS KWA RAYVANNY NA NLM LABEL KWA WIMBO MZURI SANA WA MAOMBOLEZO.
Unataka ngoma kali ya msibaMbona la kawaida au gia ya kumsakia views?
Ngoma ngumu ya majonziUnataka ngoma kali ya msiba
NikisikilizagaMtake radhi Captain Komba kwa kumfananisha na hao watu...
Hakuna replacement yake...
Nikisikilizaga
[emoji445]tumeipenda wenyeweee.. ngingii[emoji445]
[emoji445]Chaguo letu wenyewe ... Ngingi...[emoji445]
Popote ulipo Captain kula bia nitakuja lipia