Rayvanny ni captain Komba wa kizazi hiki

Tutolee upumbavu wako hapa.
 
Vannboy ni nouma Sana , nyota Kali Sana hyo ..... Kiufupi Rayvann ni fundi Sana Sioni WA kumfikia
 
Hata ya Msechu nayo inaujumbe unaoleta majonzi.
Ningeshangaa kama msechu asingetajwa, ule wimbo jamaa kaimba vizur sana, ukiangalia muda ambao mama samia alitangaza kifo cha magufuri na muda uliotoka wimbo utajiuliza huyu msechu inawezekana alipewa taarifa yakifo kabla ya kutangazwa ama?

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Msechu ni muimbaji bora sana kwangu, kwa nyimbo zote nilizosikiliza leo za maombolezo wa kwake wenye maneno "kwa nini Mungu umeruhusu" kauimba vizuri sana, kuanzia mpangilio wa sauti, mahadhi ya sauti,mdundo na ujumbe wenyewe, jamaa anajua.
 
Hamna kitu mbele ya KILIO(Rayvanny)
 
Mkuu labda ungemfananisha na mwingine sababu Capt. Komba aliimba kwaya.
Ina maana unamfananisha rayvanny na kwaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…