Before hitting the post button do a thorough research. To your knowledge upo sawa lakini ki ukweli umepotosha na hio kauli yako!
Vanessa Mdee ni mrwanda!?? Nedy Music ni Mkongo?? Lil Ommy ni mchina?? Hawa si ni wa-Tanzania. Kwanini useme Mtanzania pekee ni vanny??
Next time jitahidi fanya uchunguzi kidogo. Tumia hata dakika 15 tu, hautaumia.