Rayvanny ni msanii pekee TANZANIA aliyechagulia katika tuzo za STARQT AWARDS 2019 Afrika Kusini

Rayvanny ni msanii pekee TANZANIA aliyechagulia katika tuzo za STARQT AWARDS 2019 Afrika Kusini

Na ni msanii pekee yake kutoka Tanzania ambaye amechaguliwa katika tuzo hizo
View attachment 1183666View attachment 1183667
Before hitting the post button do a thorough research. To your knowledge upo sawa lakini ki ukweli umepotosha na hio kauli yako!
Vanessa Mdee ni mrwanda!?? Nedy Music ni Mkongo?? Lil Ommy ni mchina?? Hawa si ni wa-Tanzania. Kwanini useme Mtanzania pekee ni vanny??
Next time jitahidi fanya uchunguzi kidogo. Tumia hata dakika 15 tu, hautaumia.
 
Back
Top Bottom