ni wimbo gani umefanya vizuri kuliko za mwaka jana?Mwaka huu ndiyo anafanya vizuri sana hasa kwenye upande wa lyrics na melodies.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni wimbo gani umefanya vizuri kuliko za mwaka jana?Mwaka huu ndiyo anafanya vizuri sana hasa kwenye upande wa lyrics na melodies.
Mbona kasuka Kama demuKijana flani hivi... View attachment 1886840
Dogo ana tungo nzuri mno.Labda ni uzee, ila kwangu huyu dogo huwa anaimba vitu vile vile vya ovyo tu kila siku, kinachobadilika ni midundo tu. Muziki unachezeka, ila anachozungumza huwa hakina maana.
Zote, targeting international markets na hakosei kabisa. Ukitoa zile za kuchezacheza za kelele hizo si mipigo yangu japo zinawasaidia kwa masoko ya wasiojua Kiswahili na waendaji wa clubs, mimi nataka soothing sounds za kusikilizia kwenye gari kama hii ya SWEET aliyotoa about last week.ni wimbo gani umefanya vizuri kuliko za mwaka jana?