Nyimbo kumi za ray van ukisikiliza ni kama umesikiliza wimbo mmoja, ni kama mashairi tuliyoimba shule ya msingi yote tuliyaimba kwa tone ya shairi la "karudi baba mmoja toka safari ya mbali"
Labda ni uzee, ila kwangu huyu dogo huwa anaimba vitu vile vile vya ovyo tu kila siku, kinachobadilika ni midundo tu. Muziki unachezeka, ila anachozungumza huwa hakina maana.
Zote, targeting international markets na hakosei kabisa. Ukitoa zile za kuchezacheza za kelele hizo si mipigo yangu japo zinawasaidia kwa masoko ya wasiojua Kiswahili na waendaji wa clubs, mimi nataka soothing sounds za kusikilizia kwenye gari kama hii ya SWEET aliyotoa about last week.