tusiyafanye maisha kuwa magumu.Ni protocal tu kaka. How can You be comfortable and have a good Time with the enemy of your friend?
king alikiba? kazidiwa kila kitu mpaka instagram followerz [HASHTAG]#diamond[/HASHTAG] ni baba yao bongo fleva woteKama kawaida yao bila kumtaja taja King wanaona hawapati Kiki kabisa.
akacheze anapochezaga.
kuna tofauti Kati ya mshkaji na rafiki...tusiyafanye maisha kuwa magumu.
Drake na Chris Brown ni maadui wakubwa ila Wizkid wote ni washkaji zake.
Dully Sykes yupo fresh na Ali Pia ni Mshkaji mzuri wa Dimond.
Swala ni kutoingilia ugomvi usiokuhusu maisha ya kistaa ndio yapo hivyo maana hakuna adui wa kudumu.
Hiyo tofauti ya ushkaji na urafiki umeitoa kwenye kamusi gani?!kuna tofauti Kati ya mshkaji na rafiki...
mfano wiz na Chris's brown so marafiki ni washkaji... wiz name drake hivo hivo...
marafiki ni mfano; jelly was rules on hemedphd ,au chriss na tyga... chege name temba...
yani alipo Fulani na Fulani yupo...
ndio urafiki halafu unakuepo kipindi kirefu kiasi kwamba adui was rafiki yako name we we pia adui yako.
king alikiba? kazidiwa kila kitu mpaka instagram followerz [HASHTAG]#diamond[/HASHTAG] ni baba yao bongo fleva wote
tusiyafanye maisha kuwa magumu.
Drake na Chris Brown ni maadui wakubwa ila Wizkid wote ni washkaji zake.
Dully Sykes yupo fresh na Ali Pia ni Mshkaji mzuri wa Dimond.
Swala ni kutoingilia ugomvi usiokuhusu maisha ya kistaa ndio yapo hivyo maana hakuna adui wa kudumu.
Anatafuta kick kwenye media
Alikiba katoa nyimbo moja kwa mwaka 2016 anatuzo 10+! Huyo msanii wenu wa ujanjaujanja katoa nyimbo karibu 5 zote kashirikisha wasanii ili apate kiki lakini tuzo za mwaka huu hazifiki 10! Fikiria alikiba akiwashirikisha wasanii kama psquare itakuwaje! Viewers YouTube haidetermine ukubwa wa nyimbo alikiba kachukua tuzo nyimbo yake ina 5m viewers na kuwashinda kina wizkid wenye 14m viewers. Mziki mzuri sio janjajanja.king alikiba? kazidiwa kila kitu mpaka instagram followerz [HASHTAG]#diamond[/HASHTAG] ni baba yao bongo fleva wote
Hujui unachoongea wewe... Kwanza hebu taja hizo nyimbo 5 kama sio unataka kutaja alizoshirikishwa na Wasafi!Alikiba katoa nyimbo moja kwa mwaka 2016 anatuzo 10+! Huyo msanii wenu wa ujanjaujanja katoa nyimbo karibu 5 zote kashirikisha wasanii ili apate kiki lakini tuzo za mwaka huu hazifiki 10! Fikiria alikiba akiwashirikisha wasanii kama psquare itakuwaje! Viewers YouTube haidetermine ukubwa wa nyimbo alikiba kachukua tuzo nyimbo yake ina 5m viewers na kuwashinda kina wizkid wenye 14m viewers. Mziki mzuri sio janjajanja.
Mwambie huyo Ray afanye hiyo collabo kama hajatimuliwa WCB na domoHiyo tofauti ya ushkaji na urafiki umeitoa kwenye kamusi gani?!
Kikubwa Kinachosemwa kwenye biashara adui wa rafiki yako anaweza kuwa mshkaji wako na mkafanya biashara.
Kwa wanaume tupo hivyo...Mwanaume wa kweli haingilii ugomvi usiomuhusu hasa ukiwa wa kibishara.
Kiukweli Diamond kuimba live anazingua sana,sauti tofauti na ngoma anayoimba!Hujui unachoongea wewe... Kwanza hebu taja hizo nyimbo 5 kama sio unataka kutaja alizoshirikishwa na Wasafi!
That's one, two, huyo jamaa yenu anaburuzwa kwenye viewers hata kwenye ngoma ambazo Diamond anafanya peke yake:
View attachment 452288
Mwana ndio ngoma ambayo Kiba aliingia nayo kwa makelele hadi kujipachika u-King badala ya kuacha mashabiki wampe u-King lakini hapo imeburuzwa kwa viewers hata na Nitampata Wapi ya Diamond!
Unless mtu uwe mlevi ndipo unaweza kuamini, mwezi mmoja waliopishana, Mwana wanaweza kuchukua viewers zaidi ya 2.5 Million na hatimae kuiacha Nitampata wapi!
Kuna Utanipenda... nayo Diamond kaimba peke yake na kaitoa mwaka ambao Kiba aliachia Chekecha:
View attachment 452289
Ingawaje Utanipenda ilitoka 6 months baada ya kuwa Chekecha imeshatoka, lakini angalia Chekecha ilivyoburuzwa kwenye viewers!!!
By the way, unadai Kiba katoa wimbo mmoja mwaka 2016... Lupela unataka kumbambikia nani? Au ni ngoma ya Seven Mosha ile?!
Ikiwa unashindwa jambo dogo kama Kiba amefanya ngoma ngapi mwaka huu ndo utajua tuzo alizopata Diamond wewe?!
Nyie watu sijui vipi! Mwenzako kam-quote mtu aliyezungumzia Instagram Followers yeye akaleta habari za Youtube! Wewe una-quote habari za Youtube; unaleta habari za kuimba live!!Kiukweli Diamond kuimba live anazingua sana,sauti tofauti na ngoma anayoimba!
We jamaa nakuaminiaga kwenye data tu, anayekubishia mchawiHujui unachoongea wewe... Kwanza hebu taja hizo nyimbo 5 kama sio unataka kutaja alizoshirikishwa na Wasafi!
That's one, two, huyo jamaa yenu anaburuzwa kwenye viewers hata kwenye ngoma ambazo Diamond anafanya peke yake:
View attachment 452288
Mwana ndio ngoma ambayo Kiba aliingia nayo kwa makelele hadi kujipachika u-King badala ya kuacha mashabiki wampe u-King lakini hapo imeburuzwa kwa viewers hata na Nitampata Wapi ya Diamond!
Unless mtu uwe mlevi ndipo unaweza kuamini, mwezi mmoja waliopishana, Mwana wanaweza kuchukua viewers zaidi ya 2.5 Million na hatimae kuiacha Nitampata wapi!
Kuna Utanipenda... nayo Diamond kaimba peke yake na kaitoa mwaka ambao Kiba aliachia Chekecha:
View attachment 452289
Ingawaje Utanipenda ilitoka 6 months baada ya kuwa Chekecha imeshatoka, lakini angalia Chekecha ilivyoburuzwa kwenye viewers!!!
By the way, unadai Kiba katoa wimbo mmoja mwaka 2016... Lupela unataka kumbambikia nani? Au ni ngoma ya Seven Mosha ile?!
Ikiwa unashindwa jambo dogo kama Kiba amefanya ngoma ngapi mwaka huu ndo utajua tuzo alizopata Diamond wewe?! Na ndio maana umeshindwa hata kutofautisha kati ya Instagram Followers hoja ya uliyem-quote na badala yake umeleta habari za Youtube Viewers as if Instagram Followers na Youtube Viewers ni kitu kile kile!!
akikujibu naomba nistue!Nyie watu sijui vipi! Mwenzako kam-quote mtu aliyezungumzia Instagram Followers yeye akaleta habari za Youtube! Wewe una-quote habari za Youtube; unaleta habari za kuimba live!!
By the way, huyo mtalaamu wa kuimba live ni yupi?!
Msameh kaka hyo bdo hajua kitu anafata mkumbo tu...... welll said kiongoziHujui unachoongea wewe... Kwanza hebu taja hizo nyimbo 5 kama sio unataka kutaja alizoshirikishwa na Wasafi!
That's one, two, huyo jamaa yenu anaburuzwa kwenye viewers hata kwenye ngoma ambazo Diamond anafanya peke yake:
View attachment 452288
Mwana ndio ngoma ambayo Kiba aliingia nayo kwa makelele hadi kujipachika u-King badala ya kuacha mashabiki wampe u-King lakini hapo imeburuzwa kwa viewers hata na Nitampata Wapi ya Diamond!
Unless mtu uwe mlevi ndipo unaweza kuamini, mwezi mmoja waliopishana, Mwana wanaweza kuchukua viewers zaidi ya 2.5 Million na hatimae kuiacha Nitampata wapi!
Kuna Utanipenda... nayo Diamond kaimba peke yake na kaitoa mwaka ambao Kiba aliachia Chekecha:
View attachment 452289
Ingawaje Utanipenda ilitoka 6 months baada ya kuwa Chekecha imeshatoka, lakini angalia Chekecha ilivyoburuzwa kwenye viewers!!!
By the way, unadai Kiba katoa wimbo mmoja mwaka 2016... Lupela unataka kumbambikia nani? Au ni ngoma ya Seven Mosha ile?!
Ikiwa unashindwa jambo dogo kama Kiba amefanya ngoma ngapi mwaka huu ndo utajua tuzo alizopata Diamond wewe?! Na ndio maana umeshindwa hata kutofautisha kati ya Instagram Followers hoja ya uliyem-quote na badala yake umeleta habari za Youtube Viewers as if Instagram Followers na Youtube Viewers ni kitu kile kile!!
Hivi urafiki ni mpk mfuatane kama kumbikumbi?kuna tofauti Kati ya mshkaji na rafiki...