Hujui unachoongea wewe... Kwanza hebu taja hizo nyimbo 5 kama sio unataka kutaja alizoshirikishwa na Wasafi!
That's one, two, huyo jamaa yenu anaburuzwa kwenye viewers hata kwenye ngoma ambazo Diamond anafanya peke yake:
View attachment 452288
Mwana ndio ngoma ambayo Kiba aliingia nayo kwa makelele hadi kujipachika u-King badala ya kuacha mashabiki wampe u-King lakini hapo imeburuzwa kwa viewers hata na Nitampata Wapi ya Diamond!
Unless mtu uwe mlevi ndipo unaweza kuamini, mwezi mmoja waliopishana, Mwana wanaweza kuchukua viewers zaidi ya 2.5 Million na hatimae kuiacha Nitampata wapi!
Kuna Utanipenda... nayo Diamond kaimba peke yake na kaitoa mwaka ambao Kiba aliachia Chekecha:
View attachment 452289
Ingawaje Utanipenda ilitoka 6 months baada ya kuwa Chekecha imeshatoka, lakini angalia Chekecha ilivyoburuzwa kwenye viewers!!!
By the way, unadai Kiba katoa wimbo mmoja mwaka 2016... Lupela unataka kumbambikia nani? Au ni ngoma ya Seven Mosha ile?!
Ikiwa unashindwa jambo dogo kama Kiba amefanya ngoma ngapi mwaka huu ndo utajua tuzo alizopata Diamond wewe?! Na ndio maana umeshindwa hata kutofautisha kati ya Instagram Followers hoja ya uliyem-quote na badala yake umeleta habari za Youtube Viewers as if Instagram Followers na Youtube Viewers ni kitu kile kile!!