RayVanny: Nitafanya Kolabo na Ali Kiba

unamfuatilia diamond mpaka unasahau kwamba kiba alitoa lupela mwezi wa pili na kajiandae ni yake pia kwa kua zimbuma huzihesabu teh teh teh
 
Kwani kupata tuzo ndio kipimo cha muziki mzuri ..........( kwa jinsi ulivyo zuzu UTASEMA ndio) Huko kwenye nyimbo sikuhoji maana itakuwa ni sawa na kukiuliza kitoto cha chekechea swali analotakiwa kujibu mwenye digrii. (kwa mujibu wa maandishi yako hapo juu nimekujua wewe una upeo gani kwenye haya mambo)
 
Msanii kutoka Wcb Raymond aka Rayvanny amesema Ali Kiba ni rafiki yake na atafanya nae kolabo endapo itatokea
Hapa tu ndipo utangua watanzania wengi tulivyo wavivu wakufikiri,,kwani hawa watu wamegombana...Ugomvi wa kiba na mondi ndio usababishe mziki wa tz usiendelee,,,,tubadilike jaman...
 
Rayvan ni zaidi ya mapimbi wote wcb, siwakubali "wachawi" ila dogo anajua
Ni kawaida binadamu kusahau walipotoka pale wanapofanikiwa kidogo,,, hata watoto wanapobalehe huweza diriki mtukana mzazi wake kwamba angechelewa angemzaa,, bila shaka hata wewe huna heshima kwa wazazi wako kwa visharubu tu hivyo ulivyoota.
 
Mwingine huyu hapa... anajiita shabiki wa Kiba wakati hata kazi za Kiba hazifahamu!

Salome umekaa kwenye chat wiki 2 lakini una views 10 Million+...!! Aje umekaa kwenye chat miezi mingapi na una views ngapi? Eti Diamond Ft Neyo umepotelea studio... hivi unajua unachoongea wewe??!!

By the way, kama kwenye hesabu unaweka Make Me Sing ambayo ni Diamond & AKA (Sio Diamond feat AKA) vipi tena unaiacha Kajiandae-- Kiba & Ommy Dimpoz. Lupela unamwachia nani?! Au kwavile video yake ina ndovu ndo maana hamuitaki?? Ukiweka na Aje; unapata ngoma ngapi hapo kama sio tatu... halafu mnadai ngoma 1!!

Turudi kwa Diamond. Kuna Make Me Sing, Kidogo na Salome! Hizo zingine zipi?

Turudi kwenye tuzo!! Unadai ametungua tuzo 13+! Hivi una habari kwa Diamond siku hizi hakuna anayehesabu hizo tuzo? Tukikosa MTV & BET' tunahesabu tumeshamaliza mwaka... lakini kama unataka uhesabiwe na hizo tuzo mnazojigamba nazo; be my guest:
Ukipiga hesabu hapo, ni 10+ na hapo nimeacha tuzo za HEADIES Nigeria ambazo zilitolewa January 02, 2016 na Bingwa-Kenya ambazo zilitolewa January 31.

Haya na wewe orodhesha hizo 13+ na utoe reference link kama nilivyofanya hapo juu or else, acheni longo longo na kelele wakati mnajua nyie ni watu wa kuburuzwa kwenye kila idara!
 
Ni kawaida binadamu kusahau walipotoka pale wanapofanikiwa kidogo,,, hata watoto wanapobalehe huweza diriki mtukana mzazi wake kwamba angechelewa angemzaa,, bila shaka hata wewe huna heshima kwa wazazi wako kwa visharubu tu hivyo ulivyoota.
kutaja wazazi wa mtu usiemjua, hujui wapo hai au wamekufa, msimpende kutaja wazazi wa watu humu muda mwingine mnakumbusha watu majonzi, tuheshimu wazazi, tukashifiane na tutukanane tuwezavyo lakini mambo ya wazazi tuyaache kabisa wewe
 
Acha uongo mbona unaweka ambazo hajachukua yaani MTU kuwa nominated ndo kuchukua tuzo.hebu ondoa hiyo hiphop award na radio afro hizo zote bado hazitolewa bado acha kutafuta kiki
 
Daaah kweli hii nchi watu mazwazwa sana sasa hoja yako ni ipi hapo naona unajinasibu kwa mbwembwe lakin pumba tupu
Uko sahihi kabisa, si rahisi kwa upeo wako mdogo kuweza kuelewa na kujibu swali langu.
 
Kiba na mondi wakifanya collaboration si litakuwa song la 2017 mpaka wanaija hawataki itokee
 
Acha uongo mbona unaweka ambazo hajachukua yaani MTU kuwa nominated ndo kuchukua tuzo.hebu ondoa hiyo hiphop award na radio afro hizo zote bado hazitolewa bado acha kutafuta kiki
Duh! We jamaa sijui wa wapi wewe?! Hivi unajua kwamba tupo 2017?! Sasa kama hazijatolewa ndo zingekuwa za 2016?! Unawekewa hadi link na bado unashindwa kusoma...!!! Nenda kwenye Twitter page ya Afro Radio Australia ukaangalie list of winners!!!!

Acha longolongo; rudi kwenye hoja: taja hizo 13+ awards! Au unaona aibu kuzitaja/1
 
sasaiv atapanda mbeya express ama rungwe
 
Aisee nawafuatilia jinsi mnavyojibishana burudaaaaani !!
 
Wangeshiriki eatv awards ningewaona wana akili. Yy na harmonize lakini kutokuepo jibu ni kuwa wanaamshwa kwa kengele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…