Mwingine huyu hapa... anajiita shabiki wa Kiba wakati hata kazi za Kiba hazifahamu!
Salome umekaa kwenye chat wiki 2 lakini una views 10 Million+...!! Aje umekaa kwenye chat miezi mingapi na una views ngapi? Eti Diamond Ft Neyo umepotelea studio... hivi unajua unachoongea wewe??!!
By the way, kama kwenye hesabu unaweka Make Me Sing ambayo ni Diamond & AKA (Sio Diamond feat AKA) vipi tena unaiacha Kajiandae-- Kiba & Ommy Dimpoz. Lupela unamwachia nani?! Au kwavile video yake ina ndovu ndo maana hamuitaki?? Ukiweka na Aje; unapata ngoma ngapi hapo kama sio tatu... halafu mnadai ngoma 1!!
Turudi kwa Diamond. Kuna Make Me Sing, Kidogo na Salome! Hizo zingine zipi?
Turudi kwenye tuzo!! Unadai ametungua tuzo 13+! Hivi una habari kwa Diamond siku hizi hakuna anayehesabu hizo tuzo? Tukikosa MTV & BET' tunahesabu tumeshamaliza mwaka... lakini kama unataka uhesabiwe na hizo tuzo mnazojigamba nazo; be my guest:
Ukipiga hesabu hapo, ni 10+ na hapo nimeacha tuzo za HEADIES Nigeria ambazo zilitolewa January 02, 2016 na Bingwa-Kenya ambazo zilitolewa January 31.
Haya na wewe orodhesha hizo 13+ na utoe reference link kama nilivyofanya hapo juu or else, acheni longo longo na kelele wakati mnajua nyie ni watu wa kuburuzwa kwenye kila idara!