Rayvanny; Nitaondoka WASAFI (WCB) kwa amani

Haya mambo ya kutegemea airtime kwenye radio moja tu yanaumiza sana....
Kabisa mkuu right wangekua wanapata airtime ktk media zingine wangekua mbali sana na wangepata kolaboleshion za kutosha

Lets say unakuta Mario anataka kufanya kolabo na Mondi akifikiria mond apigwi clouds wa chaneli5 hivyo anaona bora aache

Kuna kipindi mondi alipata kolabo na wasanii wengi sana na ile ilikua kwasababu anapigwa clouds na eatv sasa angalia kwasasa hana kolabo nyingi sana wasanii wanaogopa kufanya naye kolabo kutokana na yeye haelewani na baadhi ya media

Hivi unafikiri Mboso kwa hit song alizotoa zile angeshindwa kupata kolabo kutoka kwa wasanii wa ndani kama vile Nandi, Darasa, marioo, Barnaba na wengine wengi ila wanamuogopa kutokana na lobo aliyokua nayo haina mahusiano mazuri na media zingine, Diamond anaakili Sana kuanzisha media yake bila hivyo alikua anakufa chali.
 
Wasanii ambao wanapata airtime na media zingine wangekuwa na Mafanikio makubwa kuliko Wcb ningekuelewa unachoongea tofauti na hapo sikuelewi.
 
Mi naona wasanii wa WCB ndo Wana mafanikio kuliko hata hao wanaopewa airtime na media zote ....Konde boy mwenyewe anapewa airtime lakn naona kama anategemea Sana msuguano na WCB ili asikike......labda Nandy na King Kiba , Kiba mwenyewe ni upepo wa Mond ..... Kuna wakat Wasanii walikuwa wanadai kutamani kupata managers wa kufanya promo kama WCB inavyofanya ..... Ila WCB wamejitosheleza mpak sa hvi
 
Yaani kwa muziki wa alikiba anaofanya na kunatokea mtu anasema ukubwa wake unamtegemea Diamond,basi huna budi ya kumuona huyo mtu kama ni "mshamba"..
 
Kwa hayo mafanikio waliyokuwa nayo right wangepatana na media nyingine ingekua ni zaidi ya hayo unayoyaona mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…