Rayvanny; Nitaondoka WASAFI (WCB) kwa amani

Kitu kinachosababisha wasanii wcb kuondoka ni haya mabifu na media hivyo wanaona wanakosa uhuru na airtime so wanaona bora wasepe tuu kwakutegemea ft zitakuwa nyingi

Wee angalia harmoniz baada ya kutoka wcb kapata kolabo na Nandy pamoja Darasa ila angeendelea kuwepo wasafi asingepata hizo kolaboration

Ninachoona huko mbeleni hata mboso atajikataa pia ila yote na yote wanaona pale wcb wanabaniwa sana na media zingine so ni bora wabaki huru kuliko kuwa na mabifu na kukosa air time ktk media zingine
 
Hao wanaopewa airtime na media zingine wamefika wapi kimziki?? Au msanii gani nje ya wcb anamafanikio ya kimuziki na shows ukitoa hao wakubwa tu kama alikiba?
 
Ila hicho ndiyo wanakitaka, yaani kuwa huru na siyo huyu apigwi huku yule apigwi kule, asikwambie mtu Ruge alikuwa mjanja sana alijuwa jinsi ya kumuua kimuziki msanii
 
Hao wanaopewa airtime na media zingine wamefika wapi kimziki?? Au msanii gani nje ya wcb anamafanikio ya kimuziki na shows ukitoa hao wakubwa tu kama alikiba?
Ndani ya Wcb msanii mwenye pesa ni boss wao tu. Wengine wanaambulia umaarufu tu. Ukiwa chawa tu wa Wcb lazima uwe maarufu sembuse msanii mkwanja wako sawa na wakina gigy money .
 
Harmonize ana mafanikio gan nje ya WCB Wazee , !! ?? vyovyote inavyokuwa WCB chini ya Diamond imenyonyesha uwezo mkubwa kimziki hapa bongo labda tuongee kishabiki .... Diamond kaanzia down kawapita wasanii aliowakuta kama akina Kiba kaanzisha label kawatoa hao akina Harmonize , bila WCB hakuna Harmonize , huyo Harmo alienda BSS alifukuzwa kama mbwa .... Diamond kamng'arisha maadui wa mond mpak wakammezea mate ... Swali linakuja Tz nzima wamekosa vipaji mpak wakimbilie WCB kung'oa mtu ?? Jibu ni moja Tu Mond ni genius , amemuibua Zuchu sa hv ni gumzo kitaa mpak Nandy anashinda Kwa waganga...

Katika watu ambao wanaombea msuguano wao na WCB usiishe basi ni Konde boy , Hana pengine pa kutafta Kiki Zaid ya WCB , kila interview anataja WCB, mara nimenunua zoom extra mara nimenunua vifaa vya Wasafi FM , ooh mara nimezurumiwa malipo na usenge usenge kibao...

Mpango wa Rayvanny kusepa upo wazi , lakn atakuwa supported na WCB kuna makubaliano yapo , hata Zuchu ameambiwa ajipange kuja kusimama mwenyewe , na still anakuwa supported na WCB , konde boy aliondoka kihuni lakn anawahtaji WCB Sana , popote atakapokuwa Konde boy jina la Mondi litatajwa lakn popote atakapokuwa Mond jina la konde haliwezi kusikika .....

Kwa sasa mziki upo WCB, now tunajiandaa Kwa ndoa Kati ya Paula wa Kajala na Vanny boy mtu mbaya 😋
Alikuwa anafanya hisani au biashara??
 
Kitu kinachosababisha wasanii wcb kuondoka ni haya mabifu na media hivyo wanaona wanakosa uhuru na airtime so wanaona bora wasepe tuu kwakutegemea ft zitakuwa nyingi

Wee angalia harmoniz baada ya kutoka wcb kapata kolabo na Nandy pamoja Darasa ila angeendelea kuwepo wasafi asingepata hizo kolaboration

Ninachoona huko mbeleni hata mboso atajikataa pia ila yote na yote wanaona pale wcb wanabaniwa sana na media zingine so ni bora wabaki huru kuliko kuwa na mabifu na kukosa air time ktk media zingine
Kweli mkuu unaongea usichokijua!
 
Haya mambo ya kutegemea airtime kwenye radio moja tu yanaumiza sana....
 
Harmonize ana mafanikio gan nje ya WCB Wazee , !! ?? vyovyote inavyokuwa WCB chini ya Diamond imenyonyesha uwezo mkubwa kimziki hapa bongo labda tuongee kishabiki .... Diamond kaanzia down kawapita wasanii aliowakuta kama akina Kiba kaanzisha label kawatoa hao akina Harmonize , bila WCB hakuna Harmonize , huyo Harmo alienda BSS alifukuzwa kama mbwa .... Diamond kamng'arisha maadui wa mond mpak wakammezea mate ... Swali linakuja Tz nzima wamekosa vipaji mpak wakimbilie WCB kung'oa mtu ?? Jibu ni moja Tu Mond ni genius , amemuibua Zuchu sa hv ni gumzo kitaa mpak Nandy anashinda Kwa waganga...

Katika watu ambao wanaombea msuguano wao na WCB usiishe basi ni Konde boy , Hana pengine pa kutafta Kiki Zaid ya WCB , kila interview anataja WCB, mara nimenunua zoom extra mara nimenunua vifaa vya Wasafi FM , ooh mara nimezurumiwa malipo na usenge usenge kibao...

Mpango wa Rayvanny kusepa upo wazi , lakn atakuwa supported na WCB kuna makubaliano yapo , hata Zuchu ameambiwa ajipange kuja kusimama mwenyewe , na still anakuwa supported na WCB , konde boy aliondoka kihuni lakn anawahtaji WCB Sana , popote atakapokuwa Konde boy jina la Mondi litatajwa lakn popote atakapokuwa Mond jina la konde haliwezi kusikika .....

Kwa sasa mziki upo WCB, now tunajiandaa Kwa ndoa Kati ya Paula wa Kajala na Vanny boy mtu mbaya [emoji39]
Chawa katika ubora wako wa hali ya juu...
 
Naomba tu niseme, hakuna unalolijua kuhusu hao uliowaongelea.
Jitahidi hata kwenda wcb pale uulizie but what you wrote here its embarrassing kwa kweli.
Hii tabia ipo sana tz, mtu hata humjui mtu unamuongelea very deep kumbe imagination zako.
Niishie hapa..
And you will be suprised me ni biggest fan wa kiba.
 
Tuambie kuhusu kiba
 
Back
Top Bottom