Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Kitu kinachosababisha wasanii wcb kuondoka ni haya mabifu na media hivyo wanaona wanakosa uhuru na airtime so wanaona bora wasepe tuu kwakutegemea ft zitakuwa nyingi
Wee angalia harmoniz baada ya kutoka wcb kapata kolabo na Nandy pamoja Darasa ila angeendelea kuwepo wasafi asingepata hizo kolaboration
Ninachoona huko mbeleni hata mboso atajikataa pia ila yote na yote wanaona pale wcb wanabaniwa sana na media zingine so ni bora wabaki huru kuliko kuwa na mabifu na kukosa air time ktk media zingine