Vanny Boy mtu mbadi kuwa makini..!!
Babalevo ni chawa na lichawa haliwezi kufanya jambo bila ruhusa ya Boss (Diamond)!
Tuanzie hapa!
Unakumbuka jinsi alivyokusumbua kufanya video ya ngoma ya 'Nitongoze'?
Kama unakumbuka umetoa Ngoma tu ya audio ya Nitongoze kesho yake akatoa audio ya Chitaki. Unajua kwanini? Aue Ngoma yako.
Baada ya kukusumbua sana kufanya video ya Ngoma Nitongoze ilipoisha tu ukaitupia YouTube. Kesho yake na yeye akaachia video ya Ngoma ya Yatapita.. Ngoma yenu video ikabuma hadi leo. Huyu ndiyo Diamond..
Now anamtuma Baba levo akutukane. Hata Mbosso now haongei na wewe kisa Diamond.
Baba Levo wewe ndio ulimleta Wasafi kabla hajawa chawa.
Cha msingi mdogo wangu, maadui wa Diamond wasiwe maadui zako, patana na wadau wote wa mziki.
Leo Baba levo anamsifia Harmonize lengo uumie. Fanya mziki bila machawa.
Mario wala Jux hawana machawa.
Kuwa makini sana na Diamond, lini alisimama upande wako?