donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Mkuu mbona simple tu,Nifundisheni kuapload video kwenye thread naweza picha pekee Jaman
mie nimependa tu hiyo miguu yako kwenye profile pic.Nifundisheni kuapload video kwenye thread naweza picha pekee Jaman
ntajifunza coz nahangaika sanaMkuu mbona simple tu,
Unacopy link ya video unayotaka ku upload then unasema insert url then unaipaste
Teh, mkuu una hakika ni yeye?mie nimependa tu hiyo miguu yako kwenye profile pic.
kwa kweli sina na chances kubwa ni sio yake, hata sijui nlikua nafikiria nini hadi nikaisifia.Teh, mkuu una hakika ni yeye?
kwa nini asiwe na uhakika?? Je kama tumewahi kukutana mahala??Teh, mkuu una hakika ni yeye?
kwenye simu inawezekana? Mbona nashindwa au me kichwa kibovu?? Hakuna wa kunifundisha step kwa step?? Mfano video kama iko kwa simu gallery yangu siwezi Ku I apload??Mkuu mbona simple tu,
Unacopy link ya video unayotaka ku upload then unasema insert url then unaipaste
halafu inaonekana ana na mtako mkubwa huyu c mchezo!hlf zaidi kakaa kimahaba sana aise...koh!mie nimependa tu hiyo miguu yako kwenye profile pic.
[emoji3] [emoji3] [emoji106]kwa kweli sina na chances kubwa ni sio yake, hata sijui nlikua nafikiria nini hadi nikaisifia.
kwa nini asiwe na uhakika?? Je kama tumewahi kukutana mahala??
Yes mm ndio natumia kwenye simu mkuu. Ila video kuupload kutoka kwenye gallery inakua na limitation ya ukubwa wa hilo file tofauti na kutoa kwenye sites kama YouTube vilekwenye simu inawezekana? Mbona nashindwa au me kichwa kibovu?? Hakuna wa kunifundisha step kwa step?? Mfano video kama iko kwa simu gallery yangu siwezi Ku I apload??
Mweh?halafu inaonekana ana na mtako mkubwa huyu c mchezo!hlf zaidi kakaa kimahaba sana aise...koh!
Yes hata mimi nimenotice hiki kitu mkuuWangepumzika kurekodi kwa Laizer maana hiyo ni ya natafuta kiki....
Beat imefanana sana....
We si kichwa kibovu kama mimi kichwa kichafu naweza ondoa hofu.kwenye simu inawezekana? Mbona nashindwa au me kichwa kibovu?? Hakuna wa kunifundisha step kwa step?? Mfano video kama iko kwa simu gallery yangu siwezi Ku I apload??