Rayvanny - Unaibiwa (official video)...!!!

Mkuu mbona simple tu,
Unacopy link ya video unayotaka ku upload then unasema insert url then unaipaste
kwenye simu inawezekana? Mbona nashindwa au me kichwa kibovu?? Hakuna wa kunifundisha step kwa step?? Mfano video kama iko kwa simu gallery yangu siwezi Ku I apload??
 
Wangepumzika kurekodi kwa Laizer maana hiyo ni ya natafuta kiki....
Beat imefanana sana....
 
kwenye simu inawezekana? Mbona nashindwa au me kichwa kibovu?? Hakuna wa kunifundisha step kwa step?? Mfano video kama iko kwa simu gallery yangu siwezi Ku I apload??
Yes mm ndio natumia kwenye simu mkuu. Ila video kuupload kutoka kwenye gallery inakua na limitation ya ukubwa wa hilo file tofauti na kutoa kwenye sites kama YouTube vile
 
kwenye simu inawezekana? Mbona nashindwa au me kichwa kibovu?? Hakuna wa kunifundisha step kwa step?? Mfano video kama iko kwa simu gallery yangu siwezi Ku I apload??
We si kichwa kibovu kama mimi kichwa kichafu naweza ondoa hofu.

Kwenye simu pia inawezekana unatumia app au web kuingia jf??
 
Back
Top Bottom