Pesa pesa mama, hata ww hapo ulivyo, sivyo ulivyo huenda.
Maisha yanabadilisha watu aisee hapo alikuwa Kama Teja.Huku tukiendelea kuchukua tahadhari zidi ya COVID-19. Tutafteni sana pesa...
Nimepita youtube leo nikabahatika kuiona video ya msanii wa WCB Rayvanny. Nikakumbuka huwa tunasemaga ukitoboa then ukabahatika kupitia picha zako za nyuma unaweza usiwalaumu hata chembe manzi waliokuwa wanakupiga vibuti.
Inahamasisha tuendelee kupambana aisee, yajayo yanaweza kuwa yanafurahisha.
Sent from my Nokia 2 using Tapatalk
Duuuuuh kwel pesa sabuni ya roho.Pesa pesa mama, hata ww hapo ulivyo, sivyo ulivyo huenda.