Rayvanny wa WCB kuwasili nchini leo; Kumbe hakuwaaga Basata?

Rayvanny wa WCB kuwasili nchini leo; Kumbe hakuwaaga Basata?

BASATA eti hatukuagwa, ila nyimbo ingewakera wangeifungia hata kama hawakupelekewa kuisikiliza, mambo ya hovyo hovyo tu, wasubiri kuwapokea Taifa Stars basi.
 
ILA MAPOKEZI YAMENOGA SANA KAMA NDO ILIKUWA HIVI. BASATA NASHINDWA KUWAELEWA KABISA

 
Kutakuwepo na msafara utaopita mitaa mbalimbali?

Yote hayo ni kwa sababu ya kushinda hicho ki category ambacho hata hakionyeshwi kwenye award show?

Kweli watu walio deprived na success hata visivyo vya maana wataviona ni kama mana!
Hizi zote ni hadaa za Clouds ...usishangae akapewa mtaa na meya wa ubungo!
 


Mayaaaaaaayoteeeeeeeewwwewwwwwhahahahahhehehehhahanahaha





Dah aseeeeeeeeeeeeeeeeeeeee yaani mhhhhhhhh afuh weeeeeee hhshdubehdjsjxbsjaiiaosoiehfbjksjshxhhdhejsidbdhdisosoosvbdksjsbdjskkqpodbdkohebejsiidbsnkxkskjeiidhusoqbzbbxkdpfod






Akili imepotea kabisa ngoja nikachukue dada poa nikajipozeeeeeee
 
Back
Top Bottom