Rayvany anyakua tuzo Tano za EAEA nchini Kenya

Rayvany anyakua tuzo Tano za EAEA nchini Kenya

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
#ETrending Follow @rickmedianews

Usiku wa kuamkia leo Staa wa muziki @rayvanny amefanikiwa kushinda Tuzo 5 za #EAEA ( East Africa Arts Entertainment Awards) zilizofanyika nchini Kenya. Vipengele alivyoshinda ni

Msanii Bora wa Kiume - East Africa.
Album/EP bora - East Africa
Mwandishi bora - East Africa
Best lovers’ choice single - East Africa
Best inspirational single - East Africa
.
Wasanii wengine kutoka Tanzania waliofanikiwa kunyakua Tuzo hizo ni pamoja na.

1. Diamond Platnumz - Overall Hit-Maker Artist Of The Year (East Africa)
2. Harmonize "Single Again" - Overall Hit Single Of The Year (East Africa)
3. S2kizzy - Overall Hit-Maker Producer Of The Year (East Africa)
4. Jux Ft Diamond Platnumz "Enjoy" - Eaea Collaboration Of The Year (East Africa)
5.7. Lizer Classic - Best Sound Engineer (East Africa)
8. Mr LG - Best Breakthrough Beat/Hit-Maker (East Africa)
9. Wcb Wasafi - Record Label Of The Year (East Africa)
.
Powered by @mtashi_motors & @weblinecomputer
.
written by @lanka_ting
.
#RickMedia
#EntertainmentChamber
1713197181097.jpg
 
Back
Top Bottom