Rayvany hauna Mke hapa

Rayvany hauna Mke hapa

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Picha mpya za mke mtarajiwa wa Rayvany alizoziachia huko instagram, kanajiita stargirl, hapa Rayvany pesa ya mziki ndio inalinda penzi ila ikiisha hana mtu hapa, mwanamke wa mtu huwezi jidhalilisha hivi
fahyvanny-20190713-0002.jpeg

fahyvanny-20190713-0001.jpeg
 
Hivi hawa madem huwa wanafanya shughuli yoyote ya kuingiza pesa, ukiachilia kuwa wapenzi wa wanamuziki?
Picha mpya za mke mtarajiwa wa Rayvany alizoziachia huko instagram, kanajiita stargirl, hapa Rayvany pesa ya mziki ndio inalinda penzi ila ikiisha hana mtu hapa, mwanamke wa mtu huwezi jidhalilisha hivi
View attachment 1152355
View attachment 1152356
 
Back
Top Bottom