Rayvany hauna Mke hapa

Rayvany hauna Mke hapa

E bn eeeh... ebu muwe sirias kdg basi, hv Mwanaume gani apendaye Mkewe aoneshe uno na tovu lote nnje hivyo [emoji848]


We unafikiri watu wote wametoka Kilwa kama wewe? Huku Oystersbay na Masaki hayo ndio mambo yetu.
 
Yeye Rayvanny ana utakatifu upi kiasi gani cha kumtofautisha na huyo msichana ?
 
We unasemsema rayvany ndani ya wcb wote wana ma gold digger, tanasha, Sarah wote ni wale wale tu bora siku ziende.
 
Ikiwa Ray Van anaona sawa ninyi ni kina nani mpaka mkosoe?
 
Cha muhimu mumewe hana tatizo nalo.
 
Mwanamke ukiolewa jiheshimu,kuna vitu anatakiwa aone mumeo tu. Nimejaribu kumshauri hata instagram kuwa mke ni wake peke yake na sio wa walimwengu.
 
Back
Top Bottom