Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,491
Parental control ipo kwenye daladala? Ipo kwenye vilibrary vya mtaani vunavyopiga hizi nyimbo?kumbe ww una ubishi wa kwenye kahawa haya endelea kubishana maana inaonekana hujua maana ya option ya parental control waliyowawekea kwenye visimbusi vyenu...elimu elimu elimu
Wewe huna tofauti na wema Sepetu na amber rutty wanaopost vitu Instagram kutafuta likes na commentsKatika post zote sijaona unapewa like Yani ujajishitukia tu,maana unaongea pumba tu
MmmmmhHapo anaposema nyege
Mmmh mpaka nimekuwa wet...
Oh oo oo!!!Hapo anaposema nyege
Mmmh mpaka nimekuwa wet...
Nilishasema humu hawa vijana wanaimba sana matusi,sasa sijui ndo fasheni au vipi??
Hivi kuna mtu amesikiliza ngoma ya barnaba ya tuachane mdogomdogo??
Muongezee mdogo wake.Tangu lini mtoto akamtukana baba?
Kama sio kutafuata radhi
Kama bado akili zako ni za kutafuta marafiki mitandaoni hivi akili zako kweli zinaweza kuchambua na kudadavua contents za nyimbo ???Nimeiskiliza ..inanin mkuu??
Wbo mkali, Video kali na ita hit sana Kenya huko na kwenye TV za wenzetu ila Basata na kile kidada cha chadema sijui kam watauacha Diamond.
Hivi alipata hao marafiki?Kama bado akili zako ni za kutafuta marafiki mitandaoni hivi akili zako kweli zinaweza kuchambua na kudadavua contents za nyimbo ???
Natafuta marafiki - JamiiForums
Dah huo mkwara hapo mwisho nimeogopaDiamond ukiondoa scandal na matusi kwenye nyimbo zake hana kingine cha maana kwenye mziki wake.
Wakati wakina wizkid na Davido wanazidi kung'aa yeye kutwa kuimba upuuzi. Tunaona mwaka huu davido aliibuka na tuzo kubwa ya BET wakati yeye hakuwa hata nominated.
Ninamkubali sana Mondi ila anakoelekea siko.
Sasa ninamsubiri Mwanaume Mwenye vibasaba vya wakina James delicious ajitangaze rasmi kuja kumjibu "kihunihuni" mwanaume wa mkoani.
Maana "Jijianaume" vya Dar usipoviambia hivyo vitakujazia server kwa kukusuta huku vimelamba lips kama vimepakwa asali.Dah huo mkwara hapo mwisho nimeogopa