Rayvany na Diamond wimbo wa Mwanza uko chini ya kiwango, BASATA kazi kwenu

Rayvany na Diamond wimbo wa Mwanza uko chini ya kiwango, BASATA kazi kwenu

Mleta uzi nakupa salute. Unajua kufanya promo. Kama unaponda vilee......... Na umefanikiwa kwa asilimia 95.
 
Katika post zote sijaona unapewa like Yani ujajishitukia tu,maana unaongea pumba tu
Wewe huna tofauti na wema Sepetu na amber rutty wanaopost vitu Instagram kutafuta likes na comments
Ndo akili za watanzania wengi kwenye mtandao ya kijamii kutafuta likes na comments Kama wewe
Alafu Kuna watoto wanakuita baba, shame on you
 
Kwanini wanapenda kuimba nyimbo za maneno machafu siku hizi?
Hiyo Nyegezi wameitumia kiujanja tu..
 
Diamond ukiondoa scandal na matusi kwenye nyimbo zake hana kingine cha maana kwenye mziki wake.

Wakati wakina wizkid na Davido wanazidi kung'aa yeye kutwa kuimba upuuzi. Tunaona mwaka huu davido aliibuka na tuzo kubwa ya BET wakati yeye hakuwa hata nominated.

Ninamkubali sana Mondi ila anakoelekea siko.

Sasa ninamsubiri Mwanaume Mwenye vibasaba vya wakina James delicious ajitangaze rasmi kuja kumjibu "kihunihuni" mwanaume wa mkoani.
 
Wbo mkali, Video kali na ita hit sana Kenya huko na kwenye TV za wenzetu ila Basata na kile kidada cha chadema sijui kam watauacha Diamond.
Kwa nini Diamond apoteze muda wake kuimba matusi kama hivi?

Haogopi awamu hii kujipotezea muda then kale kadada kaje kumfyekelea mbali
 
Diamond ukiondoa scandal na matusi kwenye nyimbo zake hana kingine cha maana kwenye mziki wake.

Wakati wakina wizkid na Davido wanazidi kung'aa yeye kutwa kuimba upuuzi. Tunaona mwaka huu davido aliibuka na tuzo kubwa ya BET wakati yeye hakuwa hata nominated.

Ninamkubali sana Mondi ila anakoelekea siko.

Sasa ninamsubiri Mwanaume Mwenye vibasaba vya wakina James delicious ajitangaze rasmi kuja kumjibu "kihunihuni" mwanaume wa mkoani.
Dah huo mkwara hapo mwisho nimeogopa
 
Hao vijana wa WCB nyimbo zao ni matusi tupu
 
Idea fulani ya jibebe kuna kufanana sana ila lugha wote tunajuwa kuna matusi humo.
 
Kwani WCB kwa sasa wanatoa tungo tofauti na za kuongelea tendo la ngono mbona tungo zao kwa sasa ni zilezile tu
 
Huu wimbo mzuri lakini hili neno nyege nyege linaukakasi sana kwa kweli
 
Back
Top Bottom