Rayvany na Diamond wimbo wa Mwanza uko chini ya kiwango, BASATA kazi kwenu

Rayvany na Diamond wimbo wa Mwanza uko chini ya kiwango, BASATA kazi kwenu

Kwani WCB kwa sasa wanatoa tungo tofauti na za kuongelea tendo la ngono mbona tungo zao kwa sasa ni zilezile tu
Eenh nyege nyege eeenh kwetu mwanza Nyegezi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].... Watu Wajinga Sana
 
Diamond ukiondoa scandal na matusi kwenye nyimbo zake hana kingine cha maana kwenye mziki wake.

Wakati wakina wizkid na Davido wanazidi kung'aa yeye kutwa kuimba upuuzi. Tunaona mwaka huu davido aliibuka na tuzo kubwa ya BET wakati yeye hakuwa hata nominated.

Ninamkubali sana Mondi ila anakoelekea siko.

Sasa ninamsubiri Mwanaume Mwenye vibasaba vya wakina James delicious ajitangaze rasmi kuja kumjibu "kihunihuni" mwanaume wa mkoani.
ahahahahaha naona watu wanaogopa kukujibu mkuu, Daah itafika mda kujitambulisha kwamba ni mwanaume wa Dar ni aibu.
 
Ukitoa matusi ya kusifia kula mgongo na mengine kwenye nyimbo za diamond hana cha zaidi.
Ndo maana namkubali aslay hana matusi na nyimbo ina kiswahili fasaha kabisa na nzuri. Nyimbo anazoimba diamond now kama uko na bimkubwa halafu redio imeplay lazima ubadili station. Maana ni udhalilishaji.mwanzo mwisho.....
Team diamond ruksa povu!![emoji6]
 
Nilishasema humu hawa vijana wanaimba sana matusi,sasa sijui ndo fasheni au vipi??

Hivi kuna mtu amesikiliza ngoma ya barnaba ya tuachane mdogomdogo??
Nimeiweka repeat mode
 
Nyege Nyege.. Kwetu Mwanza Nyegezi.
Mmmh! Nyege Nyege.. Nishushe Mwanza Nyegezi.
 
Nilishasema humu hawa vijana wanaimba sana matusi,sasa sijui ndo fasheni au vipi??

Hivi kuna mtu amesikiliza ngoma ya barnaba ya tuachane mdogomdogo??
Ngoja niisake
 
Hii nyimbo beats haifanani hata kidogo na makulusa (kwaito),ila neno lile la Nyegezi (kifupi chake cha nyege),lina ukakasi.
Ndio ubunifu huo. Hilo neno ndio linaleta mtafaruku na kuongeza udadisi.
Kama mwanaume MASHINE, Je mashine ipi hiyo?
 
Wabongo kweli mna roho ngumu, yaani mmekosa kabisa nyimbo za kuskiliza???? Si bora muskilize hata kina Wizzy, wakina Breezy, wakina Jizoooo, cole etc... Huo nao nauona bado waafrica tuna utumwa wa fikra bado
 
Beat makurusa..stylr ile ile ya katika hamna iipya...ila promo nyingi itahiti madogo wanakaza
 
Back
Top Bottom